Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

LE SUPER KISS U KNOW MTANYOOKAZZZ


DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE ,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI

$
0
0
  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .
  Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
  Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye kituo cha mabasi wilayani humo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
 Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo na shamra shamra za mapokezi kurindima kila kona wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli,huku wengine wakiwa wamebeba mabango kama hivyo pichani.
   Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni ya leo katika kituo cha mabasi cha zamani ndani ya wilaya hiyo.
 Ilikuwa ni shangwe tu jioni ya leo ndani ya Wilaya ya Chato ambako ndiko nyumbani kwa Mbunge na  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli. 
   Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji  wa Katoro mkoani Geita alipokuwa akipita njiani kuelekea wilayani Chato.Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli mkoani humo wananchi walijitokeza kwa wingi kila baada ya kilometa kadhaa na kuziba barabara wakita kumuona Dkt Magufuli na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake na chama cha CCM.
 Mwananchi akiwa amekumbwa na joto la furaha mara baada ya kumuona Dkt Jonh Magufuli akiwa na msafara mzima wakielekea jimboni kwake Chato mkoani Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Magesse Mulongo akiwasalimia wananchi wa Chato jioni ya leo,kabla ya kumkaribisha Dkt John Magufuli aliyewasili mjini humo jioni ya leo akitokea mkoani Mwanza akijitambulisha kwa wananchi na kuwashukuru.
 Dkt Magufuli akizungumza jambo kwa maelfu ya wakazi wa mji wa Chato jioni ya leo
 Dkt Magufuli akifurahia jambo mbele ya umati wa watu,mara baada ya kujitambulisha kwao.
   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wakazi wa mji huo kwa kujitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
 Maelfu ya Watu walijitokeza kumlaki Dkt Magufuli jioni ya leo mjini Chato mkoani Geita.
PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-GEITA

KALUNDE BAND KATIKA UBORA WAO, WAFANYA KWELI KLABU YA GMB MBEZI

$
0
0
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi  akiimba wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika klabu ya GMB Mbezi  jijini Dar es salaam Maarufu kwa Mbaga katika siku ya pili ya sikukuu ya Idd , kulia ni mwanamuziki Bijuu wa bendi hiyo.

????????????????????????????????????
Wanamuziki wa bendi hiyo wakiimba katika onesho hilo lililofanyika kwenye klabu ya GMB Mbezi jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Mwanamuziki Debora Nyangi wa pili kutoka kulia mwimbaji na Meneja wa bendi hiyo akioongoza waimbaji wenzake wakati bendi hiyo ilipokuwa ikitumbuiza jana kwenye klabu ya GMB Mbezi.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki wa bendi hiyo Bijuu akiimba huku wanenguaji wakifanya vitu vyao.
????????????????????????????????????
Mwanamuziki wa bendi ya Kalunde Gringo Junior kushoto akishoo Love na wadau wa bendi hiyo Teddy Mwanambilimbi katikati na Fina Mwanambilimbi kulia.
????????????????????????????????????
Gringo Junior akifanya vitu vyake jukwaani.
????????????????????????????????????
Wangenguaji wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao jukwaani.

KADA WA CCM ASSENGA ALITAKA JIMBO LA KILOMBERO

$
0
0
 Kada wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, leo
 Msanii wa muiziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akizungumza na umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kada wa CCM, Abubakari Assenga (kushoto) aliyetangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero kwenye mkutano huo.
 Ali Kiba akiwapa hi, umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Assenga kutangaza nia ya kuwania ubunge, jimbo la Kilombero mkoani Morogoro,  kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, leo baada ya mechi ya fanali ya Kombe la Assenga iliyofanyika kwenye Uwanja wa Asante Afrika, Ifakara
 Mchezaji wa timu ya Lumemo Ashir Mtenge (kushoto), akipambana na mchezaji wa Kining'ina  Juma Ngulukila, timu hizo zilipoemnyana katika mechi ya fainali ya Kombe la Assenga, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro leo.  Kining'ina iliibuka bingwa wa kombe hilo baada ya kuicharaza Lumemo mabao 6-0 katika mechi hiyo.

 Mchezaji wa timu ya Lumemo Ashir Mtenge (kushoto), akipambana na mchezaji wa Kining'ina  Juma Ngulukila, timu hizo zilipoemnyana katika mechi ya fainali ya Kombe la Assenga, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro leo.  Kining'ina iliibuka bingwa wa kombe hilo baada ya kuicharaza Lumemo mabao 6-0 katika mechi hiyo.
 Wachezaji wa Kining'ina wakishangilia bao la tano dhidi ya Lumemo wakati wa mechi hiyo

 Msanii wa muziki, Ali Kiba, akifuatilia mechi ya Lumemo na Kining'ina ya fainali ya Assenga Cup kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, mkoani Morogoro, mwishoni mwa mechi hiyo, kada wa CCM, Aboubakar Assenga alitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero
 Ali Kiba na Assenga wakiwa kwenye mechi hiyo
 Mashabiki wakiwa kwenye mechi hiyo ya fainali ya ssenga Cup, kenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro.
 Wachezaji wa timu ya Kining'ina wakijinasibu baada ya kuibuka mabingwa wa Assenga CUP kwenye mechi hiyo
Wananchi wakishangilia wakati Kada wa CCM, Aboubakar Assenga alipokuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara.
 Ali Kiba akimpa zawadi mchezaji bora katika mechi hiyo
Aboubakar Assenga akikabidhi zawadi ya pea moja ya jenzi, alipogawa jozi moja ya jezi kwa timu zote zilizoshiriki michuano ya Assenga Cup
Ali Kiba akitoa zawadi  kwa nahodha wa timu ya Lumamo Cup, Hamza Ali baada ya timu hiyi kuibuka mshindi wa pili katika fainali za kombe la Assenga.
Ali Kiba akikabidhi zawadi ya kitita cha fedha kwa nahodha wa timu ya Kining'ina, Mohammed Abeid, baada ya timu hiyo kuibuka bigwa wa michuano ya Assenga, baada ya tmu hiyo kuizaba mabao 6-0 timu ya Lumamo katika mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara. Kushoto ni Kada wa CCM Aboubakar Assenga ambaye baadaye alitangaza nia kuwania ubunge jimbo la Kilombero
Msanii Ali Kiba akiwasili kwenye Uwanja wa Michezo, kumpiga tafu Kada wa CCM, Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro.
Msanii Alikiba akinena na wananchi alipompa tafu, Kada wa CCM, Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro.
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye mkutano huo, kushoto ni Zainabu Bakari kutoka Umoja wa Vijana wa CCM.
Mtoto na karanga zake akiwa kwenye mkutano huo
Alikiba akiwasha moto kwa kuwashindanisha vijana kucheza muiziki wake kwenye mkutano huo
Baada ya kunogewa, Ali Kiba akaamua na yeye kusakata muziki na vijana hao aliokuwa akiwashindanisha.
Mama akishangilia kwa nguvu zake zote, Kada wa CCM, Abubakar Assenga alipokuwa akitangaza nia kuuwania ubunge jimbo la Kilombero katika mkutano huo uliofanyika Mang'ula.
Vijana wakiwa wamepanda kwenye mti kuhakikisha wanamuona Assenga wakati akitangaza nia kwenye mkutano huo
Assenga aakiwasalimia wananchi alipowasili katika mkutano wke wa kutangaza nia ya kugombea ubunge, uliofanyika Mang'ula
Kada wa CCM, Abubakar Assenga akiwahutubia wananchi alipotanagaza nia kuwania ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofurika wananchi hao katika eneo la Mang'ula
Assenga akishauriana jamabo na Mweneyekiti wa CCM
Assenga akishauriana jambo na Kijana wa CCM Zainabu bakari
Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, akiwa na Ali Kiba jukwaani mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro. 
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO, KILOMBERO

MENEJA WA DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND PLATINUMS KUTUKANA MATUSI MAZITO

$
0
0
Muda Mchache baada ya Tuzo za MTV MAMA 2015 kuisha na Diamond kuchukua tuzo ya Best Live Act ambayo alikua akishindania na wakali kama Mr Flavor, Too Fan na Mikasa. Babu Tale kupitia akaunti zake zote za mitandao ya kijamii alipost picha hii ikimuonyesha Diamond ameweka Dole la Kati na Kuandika Hivi.
"Unaweza kudanganya watu kwa mda mfupi..lakini huwezi kudanganya watu wote kwa mda wote..ahsante MTV kwa kutambua kipaji na juhudi zetu"
Angalia Picha za MAMA 2015 kwa kubonyeza Link Hii  
MTV MAMA 2015 Pictures

DIAMOND PLATNUM TUZO ZA MTV MAMA ZILIKUWA ZINAMNYIMA USINGIZI.

$
0
0
DIAMOND PLATNUM AKIWA AMELALA BAADA YA KUPATA TUZO ILIYOKUWA INA MUUMIZA KICHWA KUTOKANA NA BAADHI YA WATANZANIA
KUTOMPIGIA KURA.AKUMBUKA MANENO YAKE MUMUACHE ALALE.

SASA APATA USINGIZI MNONO.

DIAMOND PLATINUMS AKIWA NA MASTAA WENGINE KWENYE TUZO ZA MTV

$
0
0


Diamond and peter from Psquare



diamond and Best Africa video director godfather!!


Diamond and Best male artist- Davido

MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAKAZI WA GEITA KATIKATI YA BARABARA (VIDEO)


LOWASSA AANDAA KOMBORA ZITO,SIRI NZITO IMEANZA KUVUJA

$
0
0
 
 Hatimaye mbunge wa Monduli Edward Lowassa kesho atatoa waraka mzito utakaoelezea namna ambavyo alifanyiwa kile alichokiita 'hila' na rais Kikwete.
Waraka huo unatarajiwa kulitikisa taifa na huenda ukaigawa vibaya CCM.


Baada ya waraka huo pia Edward Lowassa anatarajiwa kutoa rasmi hatima yake kisiasa huku kila dalili ikionyesha kuwa ataisambaratisha vibaya CCM kutokana na maamuzi atakayochukua.  


BOFYA HAPA KUONA KOMBORA HILO

IRENE UWOYA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE

$
0
0
Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda

William Mtitu on Instagram

TV YA KENYA YAMJIBU RAY C.... BAADA YA KUANDIKA MDANDAONI KUWA ANAMPENDA RAIS KENYATA

$
0
0

Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Mashariki.Weekend hii muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameamua kufunguka hisia zake juu ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
“Lemme tell u a lil secret about Uhuru!!!!I love this guy to death!I have had a crush on him for soooooo long!!!huwa namuota sana sana!!!!I love everything about him!His Attitude, His accent!Total Package,” aliandika Ray C. 

BREAKING NEWS : LOWASSA RASMI CHADEMA.MBOWE ATHIBITISHA

$
0
0


 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemkaribisha Edward Lowassa kujiunga na CHADEMA, amesema CHADEMA hakibagui Mtanzania yeyote.
-Amesema mgombea atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa Rais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu 

BALAA GANI BIDADA HUYU AMELIFANYA KWENYE PARTY!

THE MAGAZETI YA BONGO LEO TUESDAY /JUMANNE 21/07/2015 LIVE!!

$
0
0
DSC09856
DSC09857 DSC09858 DSC09859 DSC09862 DSC09863 DSC09864 DSC09865 DSC09866 DSC09867 DSC09870 DSC09871 DSC09876 
DSC09877 DSC09878 DSC09879 DSC09880DSC09881 DSC09872 DSC09873 DSC09874 DSC09875 DSC09868 DSC09869 DSC09882 DSC09883 DSC09884 DSC09885 DSC09886 DSC09887 DSC09888 DSC09889 DSC09890 DSC09891
DSC09860 DSC09861 

JERRY SLAA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

$
0
0
IMG_9354
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote, wakati aliporejesha fomu hiyo katika ofisi za CCM wilaya ya Ilala aliyoikabidhi kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya ILALA (kushoto).
Jerry Slaa aliongozana na Mwenyekiti wa tawi la Gulukakwalala ambako ndio nyumbani kwake, Mwenyekiti wa CCM kata ya Gongo la Mboto pamoja na wazee wa jimbo la Ukonga.
IMG_9341
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kurejesha fomu yake ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote.

IMG_9348IMG_9317
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi na wazee wa Ukonga aliombatana nao wakati wa kurejesha fomu.

JIONEE NGUO ALIYEVAA MDOGO WAKE ZARI MBELE YA KAKA YAKE NI BALAA

$
0
0
What’s’ wrong with this Zari’s young sister?...why she wore like this in front of her brother and mother 

KAULI YA KWANZA YA LEMBELI MARA BAADA YA KUHAMIA CHADEMA LEO

$
0
0

2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV, Radio na hata mitandaoni. 
Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna stori za baadhi ya Wabunge wametangazwa kuhama Vyama vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM kwa maneno yake mwenyewe. 


LE MAJANGAZ

JIONEE VIDEO GONJWA LA AJABU LINALOMSUMBUA DADA HUYU

TUZO YA MTV YAMPA KIWEWE DIAMOND PLATINUMZ!

$
0
0
BAADA ya kuchukuwa Tuzo ya Mtumbuizaji Bora Afrika mwishoni mwa wiki iliyopita, staa anayetikisa kupitia Ngoma ya Nana, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameonekana kama kupata kiwewe.
Katika kusheherekea usiku wa tuzo hizo zinazojulikana kama MTV Africa (MAMA), Diamond alitupia picha mbalimbali kwenye mitandao yake ya kijamii na mojawapo ilimuonesha akiwa amelala huku tuzo yake ikiwa pembeni ya kitanda na kufunguka; “Nawashukuru madensa wangu kwani wao ndiyo wamenipika nikapikika hadi leo hii.



Shukrani za kipekee zimfikie mama yangu kipenzi Sandra kwa mafunzo na malezi anayonipa kila siku juu ya dunia,” aliandika Diamond na kufanya mashabiki wengi wamuone kama amepata kiwewe kupata tuzo hiyo huku wengine wakihoji kulikoni mbona hajatoa shukrani kwa baba yake.
Kuonesha kiwewe cha kupata tuzo, Diamond alienda mbali zaidi kwa kuandika; “Shukrani za pekee ziende kwa kipenzi changu, Zari kwa raha na usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga zaidi na kuwa mbunifu.” Katika tuzo aliyochukua Diamond, alikuwa akichuana na wakali wengine kama Big Nuz, Mr. Flavour, Mi Casa pamoja na Toofan.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>