Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

KIVAZI CHA LINAH NAYE MOTOOO TAZAMA PICHA HIZI ALIVYOKUWA KATUPIA DUH MBONA BALAA HILI CHINI YANI HAKUNA KITU ZAIDI YA KICHANDARUA TU DUH MMH


SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA

$
0
0
Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula  
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali  wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya  mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Katika kukuza wigo wake wa kuwashirikisha wapenzi wake katika kuleta maendeleo ya klabu Simba Sports Club inazindua makakati wa kuwashirikisha wapenzi wenye nia ya kuwa chachu ya maendeleo kwenye klabu yao.
Simba ni klabu ya wanachama na wapenzi wa Simba, hili  ndilo jambo la msingi
na kujivunia  zaidi. Kwa msingi huu wigo wetu wa wapenzi nimtaji muhimu katika kuetekeleza
malengo mbalimbali  ya klabu ya Simba. Hivyo basi leo hii klabu ya Simba inazindua rasmi  Mabalozi wa Simba, hawa  ni  wapenzi  wa Simba ambao wako tayari kushirikiana na klabu katika kuleta maendeleo ya  klabu  yetu’’.
Aveva aliendelea kusema ‘’ Katika ahadi zetu wakati wa uchaguzi tuliahidi kuwa tumenuia kwa dhati kuleta mapinduzi  ya kimaendeleo  ndani ya Simba. Napenda kusema safari yakuendelea  kuifanya Simba kuwa klabu bora ndani na nje ya uwanja imepamba moto. Kwa uhakika malengo mengii kiwemo la kujenga uwanja na kambi ya mazoezi ya Simba sio ndoto. Kupitia  mabalozi  wa Simba na mikakati yetu mingine ya utunishaji wa mapato tunaamini kwa dhati malengo yetu tutayafikia.

Kihistoria Simba imekua ni timu yenye kutendana kufikiriki maendeleo na kutumia nguvu za wapenzi na wanachama, tulianza kwa kuwawa kwanza kujenga jengo la klabu, Mzee Dalali aliona mbali na kununua uwanja Bunju, nasisi  tutaanza ujenzi, hii ndio dhima ya uongozi  ndani ya Simba kupokezana vijiti vya maendeleo’’.
Kwa upande wake MkurugenziMtendajiwa EAG Group LTD ambao ni washauri watekelezaji wa mikakati ya biashara na masoko wa Simba ImaniKajula  alisema ‘’Zoezi la kuteua mabalozi wa Simba ni endelevu na litafika kila kona ya Tanzania. Hawa ni mashabiki ambao  mawazo, michango yao ya hali na  mali, kutumia ushawishi wao kutaleta maendeleo kwenye klabu yetu. Hawa watakuwa mstari wa mbele kwenye Simba Week kuhamasisha ufanyaji kazi za jamii na kushiriki kwa wapenzi na wapenda maendeleo katika kusukuma  maendeleo ya Simba.
Napenda kuwashukuru  sana Mabalozi hawa kwa kutenga muda na kuwa tayari kusaidia juhudi za kuiletea Simba maendeleo. Uongozi wangu utakuwa bega kwa bega nanyi katika kazi hii adhimu.

TASWIRA KATIKA PICHAZ WAKATI MBUNGE JAMES DAVID LEMBELI AKITANGAZA KUONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA‏

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), James David Lembeli (kushoto) akiingia ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mtoto wake, Wizilya Lembeli wakati akienda kutangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitangaza kuondoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pamoja na kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho.

Lembeli akizungumza na wanahabari.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.

NAPE AMRUSHIA KOMBORA LOWASSA , ASEMA CCM IMEWEZA KUYAZUIA MAFURIKO KWA MIKONO

$
0
0

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli aliyekuwa Mbunge wa Kahama wakitangaza kutogombea kupitia chama hicho
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mtandao huu jana alisema CCM hakina uwezo wa kuzuia mtu anayetaka kukihama kwa sababu hiyo ndiyo demokrasia.  


BOFYA KUSOMA YOTE

SUPER STAR DIAMOND PLATNUM ADHIHILISHA BIFU NA JOKATE NA HIKI NDO ALICHOKIANDIKA,NI SHIDAAA!!!!

$
0
0
Mshindi huyo wa ‘Best Live Act’ kwenye MTV MAMA baada ya kurejea Tanzania, amejibu shutuma alizozitoa Jojo dhidi yake kuhusu video aliyoipost, ya mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wake akifurahia wimbo wa ‘Mdogo Mdogo’ na kuandika “Mbona Bado, Mtanyooka Tu”.Ingia hapa Kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm, haya ndio majibu ya Diamond kuhusu video aliyoipost na kile alichokiandika Jokate:


“unajua kwanza nimecheka afu nimeskitishwa kwasababu nimeambiwa, sijasoma nimeambiwa kuna post ameandika amezungumzia vitu vingi… Yeye kacheza kama fan wa nyimbo yangu, na mimi nimempost kama fan wangu, ile caption yangu sijamuandika jina kwanini achukulie vibaya? Ukiona mtu anajishuku ukiona hivyo kuna namna nyuma. Mbona mi napost watu wengi tu, tena naandika caption zangu za vituko vituko manake mimi nina caption za vituko, mi ni mswahili nimezaliwa Tandale nimekulia Tandale na Tandale ndio kumenifanya leo niwe hapa nilipo…kwahiyo nina caption zangu za uswahili kwasababu uswahili ndio umenikuza…siziachi kuziandika mbona naziandikaga katika caption nyingi nyingi kwanini kwake yeye tu aione tatizo, kwani kuna ubaya gani mi kuandika mtanyooka tu kama yeye haimuhusu ina maana labda kuna kitu kinamuhusu.”

Diamond aliendelea:“Nikaambiwa pia amezungumza kwamba ndio maana wanaogopa kusapoti wasanii watanzania kwasababu akisapoti wanadhalilishwa, yeye mimi mpaka nimeenda kuchukua tuzo hii amenisapoti nini? Alipost hata post moja kusema mpigie kura Diamond, afu leo anajishaua eti kanisapoti, kasapoti nini eti kutoa hongera mi nimeshinda tuzo, eti ooh hongera kwa tuzo by the way, angepost kuhamasisha watu wapige kura ili ushindi uje nyumbani, lakini kwa chuki alizojazwa zisizo na sababu na roho mbaya alowekwa na watu imemfanya ashindwe hata kunipost na kutengeneza chuki za chini chini kwa kudhani wakiwapigia kura Wanigeria mi ntakosa tuzo…Mungu alivyolaani mi nimeshinda, afu anajifanya anatoa hongera eti wanasapoti muziki wa kiTanzania, utanisapoti nini, lini umenisapoti, au baada ya kuona tuzo imekuja ndo unajifanya kutoa hongera, tuacheni unafiki.” Alimaliza diamond

BREAKING NEWS : LEMBELI RASMI AJIUNGA CHADEMA

$
0
0
 Mbunge wa jimbo la Kahama Mkoani Shinyanga Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo
kuachana na chama tawala CCM na kujiunga na chama cha upinzani cha CHADEMA 

WAPI TUNAELEKEA BINTI ATUPIA PICHA TATA MTANDAONI

$
0
0

00Ps!! ladies have gone crazy to seek attention! They will do anything to win men who will say they are hot or try to engage them in talks.A lady cannot believe she is hot unless she has several
who are trying to win her.They will do anything on social media to attract men.This is a Kenyan lady posting n’ude pics on social media to seek men who will appreciate her beauty.This is crazy


JAMANI TUWENI MAKINI NA VYOO VYETU HEBU JIONEE BALAA


LE MBEBES MWENYE UMBO MATATA ALIYETIKISA SIKU YA LEO

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KATIKA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015

$
0
0
Diamond Platnumz. 
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa mara sita katika kuwania Tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika huko Dallas nchini Marekani Mwezi Oktoba 2015. 
 
Vipengele anavyowania staa huyo ni pamoja na: 
1. Best Artist Of the Year 
2. Best Dance Video (Nana) 
3. Best Video (Ntampata Wapi) 
4. Best East Artist of the Year 
5. Best Collaboration (Nana) 
6. Song of the Year (Ntampata Wapi) 


Msanii huyo pia anawania Tuzo ya Best Inspiration Song kwa Wimbo wa Alive ambao alishirikishwa na Bracket & Tiwasavage. 


Wasanii wengine wanaowania tuzo hizo kutoka Tanzania ni Mrisho Mpoto, Ommy Dimpoz, Ali Kiba, Khadija Kopa, Vanessa Mdee, Lady Jaydee na Prodyuza Sheddy Clever.

MREMBO AACHIA PICHA ZAKE MATATA

$
0
0


 

Sabby Angel  Decides to Flaunt her Assets for Tanzanian  MEN













MAJANGA YA KIFASHENI>>>HEBU JIONEE STYLE HII YA UVAAJI NGUO YA MATOBO MATOBO

MREMBO ANAEUA WANAUME WENGI KWA SURA,RANGI NA UMBO LAKE!!!

$
0
0


Anaitwa Mona...Aliponimaliza zaidi ni pale nilioona video yake akikatiki yaani TWERKING!!! Ninoma Aisee

WEMA SEPETU ,AUNT EZEKEL WAKUTANA LIVE WAPIGANA VIKUMBO HADHARANI..KIMENUKA TENA

$
0
0

Mafahari wawili Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’.
MAFAHARI wawili Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wamezidi ‘kusherehesha’ bifu lao baada ya kupigana vikumbo kwenye mgahawa unaojulikana kama Snow Cream na kuchuniana kama vile hawajuani.
Wema Sepetu.Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho kiliusoma ‘mchezo’ mwanzo mwisho, Wema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingia kwenye mgahawa huo na wapambe wake kisha baada ya muda kidogo kupita, Aunt pamoja na watu wengine nao walifika na kukaa meza nyingine.  


MBEBES MKALI KUTOKA GHANA NI BALAAAAAAA


KUTANA NA MWANAMKE HUYU WA AJABU DUNIANI.STORY NA PICHA ZAIDI ZIKO HAPA

$
0
0

Older: Sarah says her bottom attracts men years older than her, including Albert (left), the father of her sons
Tight fit: Along with doors, Sarah confesses to having problems doing up her seat belt because of her rear
ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.
Record-breaking rear: Sarah Massey shows off her seven foot wide posterior while cooking at home
Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema  anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
Problems: But the mother-of-two admits she suffers from limited mobility caused by her vast posterior 

BREAKING NEWS: DR,NCHIMBI AWAWEKA HADHARANI WATU ANAO WAKUBALI NDANI YA CCM ..TAZAMA PICHA

$
0
0
 
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Songea na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mh Dk Emmanuel Nchimbi Leo Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Ameweka
Hadharani Picha ya Wanachama Wenzake Kutoka Chama cha Mapinduzi Ambao yeye Anakubali sana Utendaji wao,

BREAKING NEWZZZ : LOWASSA AANDIKA TENA UJUMBE HUU MZITO MUDA HUU KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO

$
0
0
Waziri Mkuu Msaafu na Mbunge Wa Monduli  Mh Edward Lowassa Ameandika  Ujumbe Mzito kwa Wananchi Watanzania Usiku Huu Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook..Lowassa Amekuwa Kwenye headlines Kwa Siku Za Karibuni Katika Harakati za
Kuomba Kuteuliwa Kupeperusha Bendera ya  Chama cha Mapinduzi  Katika Nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nafasi iliyoenda Kwa Mh John Magufuli.  

LE MAJANAGAZ WACHUMBA WAFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA

$
0
0

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.Tukio hilo ambalo lilikusanya mamia kwa maelufu ya ndgu na wageni waalikwa imekuwa kali ya mwaka ambapo jeneza kubwa lilokuwa

limepambwa kwa rangi ya pinki lilowekewa mto mkubwa kisha maharusi kungia ndani na kulala chali kisha kila mmoja kubeba ua.

Baada ya kulala chali wazee wawili wa kimila waliovaa nguo za rangi ya Chungwa wanawafunika na shuka nyeupe kisha nyimbo za kimila huimbwa na vigelegele kuendelea kama kawaida.

Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

Wazee wa kimila wakiendelea na shughuli.

SUPER STAR DIAMOND PLATNUMZ ALEWA SIFA NA KUTUKANA HADHARANI

$
0
0
Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji Bora Africa Diamond Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na
Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana....... 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI TUKIO HILI
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>