↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO WEDNESDAY /JUMATANO 22 /7/2015 LIVE!!
↧
EDWARD LOWASSA AWAWEKA UKAWA NJIA PANDA
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
SINTOFAHAMU! Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vinne vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD sasa upo njia panda kuhusu ujio wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anayesemwa kutaka kutimka kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari kutoka ndani ya vyama hivyo zinasema, tangu kukatwa kwa Lowassa katika kuwania kwake kuteuliwa kuwa mgombea urais, kumekuwa na shinikizo kubwa kutoka kwa watu mbalimbali, wanaotaka kada huyo wa chama tawala anayetajwa kuwa na wafuasi wengi ajiunge na Chadema, ili awanie nafasi hiyo kwa tiketi ya Ukawa.
↧
↧
FASHENI HIZI NI BALAA,JIONEE
↧
MAGUFULI AENEDELEA KUJITAMBULISHA NA KUWASHUKURU WANACHI WA CHATO MPAKA DODOMA KWA KISHINDO
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya ofisi ya CCM juu ya gari ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita alipopita kuwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji Bukombe mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita mchana huu alipokuwa akipita njiani kuwashukuru na kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakimsikiliza Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi hao alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Kahama mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.

PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-DODOMA
↧
BREAKING NEWS: LEMBELI BULAYA NDANI YA CHADEMA LIVE
↧
↧
FASHION BHANA MPAKA KICHEFUCHEFU AISEE . TAZAMA HUYU DADA KAVAA NGUO KWELI ?
↧
MFAHAMU MTANZANIA TAJIRI ANAYEENDESHA MAGARI YA KIFAHARI NA YA BEI ZAIDI HAPA TANZANIA! MBUNGE MTARAJIWA

Kama ndio machine aliyonunua safari hii basi katisha aisee maana hii ni one of the most expensive and luxury cars around na hela yake ni ndefu sana. It's confirmed gari kanunua na soon mtaiona mitaa ya kati. Davis yaelekea ni mpenzi sana wa magari mazuri na of course uwezo wa kuyanunua anao cause he works so damn hard. Hongera sana Davis can't wait to see this new toy in Bongo. Hii ndo inaitwa "Tumia Pesa Ikuzoeee"
"Heshima Pesa Shikamoo Makelele
↧
MAGUFULI AENEDELEA KUJITAMBULISHA NA KUWASHUKURU WANACHI WA CHATO MPAKA DODOMA KWA KISHINDO.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya ofisi ya CCM juu ya gari ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita alipopita kuwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji Bukombe mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita mchana huu alipokuwa akipita njiani kuwashukuru na kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakimsikiliza Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi hao alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Kahama mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya ofisi ya CCM juu ya gari ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita alipopita kuwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji Bukombe mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita mchana huu alipokuwa akipita njiani kuwashukuru na kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakimsikiliza Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi hao alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Kahama mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-DODOMA
↧
MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAKAZI WA MANYONI (VIDEO)
↧
↧
UN YAKANUSHA UZUSHI WA JAMII FORUM NA INDIAN OCEAN NEWSLETTER

Mratibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mipango ya maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Alvaro Rodriguez.
UMOJA wa Mataifa umetaka vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa kuhakikisha vinatoa taarifa zao kwa usahihi kuhusu maandalizi ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.
Kauli hiyo imetolewa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa Dar es salaam, kufuatia taarifa iliyochapishwa na jarida moja kwamba UN inataka kujitoa katika kusaidia mandalizi ya uchaguzi nchini Tanzania.
Aidha alisema kwamba si kweli kuwa Umoja wa Mataifa haujaridhishwa na mwenendo wa maandalizi ya uchaguzi nchini Tanzania na kwamba Umoja huo utaendelea kushirikiana na serikali na vyombo vingine vya uchaguzi kuhakikisha uchaguzi unakwenda vyema.
Indian Ocean Newsletter ya Julai 10 mwaka huu ilichapisha habari iliyoandikwa na kichwa cha habari “State is facing electoral commissions negligence” na kusema kwamba Mratibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mipango ya maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Alvaro Rodriguez, haridhishwi na mwenendo wa maandalizi ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe na kutishia kuondoa msaada wa mamilioni unaoratibiwa na UNDP kutoka kwa wahisani mbalimbali.
Aidha Julai 15, 2015, mtandao wa Jamii Forum ilitafsiri habari hiyo kwa Kiswahili na kuitawanya kwa wasomaji wake.
Taarifa ambayo sio sahihi iliyochapwa na Jamii forum hii hapa link: http://www.jamiiforums.com/ jukwaa-la-siasa/885659-un- yaeleza-kutoridhishwa-kwake- na-vurugu-za-uchaguzi-nchini- tanzania.html#post13289399
Ukweli ulivyo
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini hajawahi kukutana wala kuzungumza na watu wa Indian Ocean Newsletter .
Aidha taarifa zilizotolewa na kijarida hicho na tafsiri yake iliyowekwa mtandao wa kijamii wa Jamii Forums hazikujengwa katika ukweli.
Pia Umoja wa Mataifa utaendelea kufanyakazi na mamlaka za Tanzania na wananchi wake na kuwa Uhusiano kati ya Umoja wa Mataifa na mamlaka za uchaguzi nchini Tanzania na Jumuiya ya kimataifa inayofadhili mradi wa DEP unawasilisha mahusiano muhimu miongoni mwa wadau mbalimbali wanaotaka kuwapo na uchaguzi huru na wa amani.
Alisema katika makubaliano kuna kamati ya mradi inayojumuisha wadau wote na ina wajibu kuongoza na kutoa mwongozo wa utekelezaji mradi huo kimkakati.
Maamuzi ya mradi huo hufanywa na kamati hiyo na kamati ya ufundi ya mradi iliyopo Bara na Zanzibar.
Kutokana na ukweli huo Umoja wa Mataifa unavitaka vyombo vya habari vya kitaifa na Kimataifa kuhakikisha kwamba inatoa taarifa za ukweli na za usahihi kipindi hiki cha maandalizi na uchaguzi wenyewe.
[caption id="attachment_141105" align="aligncenter" width="595"]
Background
The Democratic Empowerment Project is a three year project launched on the 12th of March 2013 and is directly executed by UNDP with UN Women and UNESCO through a donor basket fund. It follows two previous electoral support projects in Tanzania: the Electoral Assistance Project of 2005 and the Election Support Project of 2010. The USD 25m project has four main components, namely, a) supporting legal and institutional reforms; b) support improvement of Electoral Management body’s capacities(NEC and ZEC); c) promote inclusive participation in political and electoral processes, and d) support national peace infrastructures. More specifically, the project has been supporting both NEC and ZEC to improve their institutional capacity both in the context of the conduct of the voter registration process (but not the provision of the BVR kits which is the government’s responsibility) and the preparations for the 2015 general elections. DEP’s support has included technical and advisory services, staff training, voter education and stakeholder engagement. Such stakeholders include the Office of the Registrar of Political Parties, political parties, media, civil society and groups representing women, youth and people with disabilities. So far DEP has supported and implemented most of these activities either directly or via cooperation agreements with the electoral management bodies who execute specific activities directly in line with their mandate.
Issued by: The Office of the UN Resident Coordinator and UNDP Resident Representative – Mr. Alvaro Rodriguez
For more information, please contactHoyce Temu-UN Communications Specialist at hoyce.temu@one.un.org or Aine Mushi, UN Coordination Specialist at aine.mushi@one.un.org
Below is the Indian Newsletter article in French
↧
HERE COMES WOMEN’S EMPOWERMENT SHOW, SUCCESSFUL WOMEN IN THE SPOTLIGH
Educate, Empower and Inspire is a women’s empowerment show. The aim of this show is to put successful women in the spotlight and get a glimpse as to how they are making a difference to our society and how they can inspire others to do the same.
My first guest was Dr. Trish Scanlan who runs the paediatric oncology department at Muhimbili hospital. Since her involvement in 2008, along with her dedicated team of Tanzanian doctors and nurses, the short term survival rates of children with cancer rocketed from 12% to 60%.
check out the full interview here below;
↧
CHEK MJENGO WA MSANII LINAH SANGA NI BALAA
↧
MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI TATA AKIWA "MTUPU"
MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake za mwili.
![]()
Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY /ALHAMISI 23/07/2015 LIVE!!
↧
NJEMBA ATOA KALI YA MWAKA ATALII AKIWA MTUPU MITAANI
DUNIANI kuna mambo! Njemba moja, Stephen Gough aliyewahi kuwa mwanajeshi amekamatwa na polisi katika Jiji la Portsmouth, Uingereza baada ya kukutwa na mpenzi wake wakidunda kutalii mitaani wakiwa uchi wa nyama. Mwanamke Melodine Roberts aliyefuatana naye aliachiwa na polisi kwa kuwa mara baada ya kuonywa kuacha tabia hiyo, aliacha lakini mpenzi wake huyo aligoma na hii ni mara ya 14 akifanya hivyo licha ya kufungwa jela huko nyuma.

Baada ya maelezo hayo, jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, Sarah Munro alisema kuwa kwenda jela kwa mtu huyo ndiyo ilikuwa njia pekee kwake kwa kuwa hilo ni kosa kubwa katika jamii ya Waingereza na ni ukiukwaji wa taratibu za umma wa sehemu hiyo.
Gough alikiri kosa hilo na hakujitetea na jaji akamfunga miezi kumi na moja jela
↧
MSHINDI WA MISS UNIVERSE KWENYE PICHA YA POZI LENYE UTATA.
↧
MBUNGE WA CHADEMA ATAKI TENA UBUNGE ARUDI KUWA MCHUNGAJI.
↧
↧
TBT RAIS KIKWETE NA MGOMBEA AMINA SALUM ALI.
↧
IRENE UWOYA AMPA MANENO YA BIBLIA WEMA SEPETU.
↧
FAHAMU MOJA YA SIFA YA KUGOMBEA NI KUWA LE MBEBEZ MUKALEE.
↧