Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

BREAKING NEWS : LOWASA AJIUNGA CHADEMA RASMI, PICHA NA VIDEO ZA KILICHOONGELEWA LEO NMEKUWEKEA


THE MAGAZETI YA BONGO LEO MONDAY/JUMATATU 27/07/2015 LIVE!!

$
0
0
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC00121
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

BREAKIN NEWZZ!!;- PICHA ZA KWANZA ZA LOWASA KUHAMIA UKAWA HIZI HAPA LIVE HOTELINI WANAPOKUTANIA SASA HIVI!!

TANGAZO MAALUM LA MKUU WA WILAYA KINONDONI MH. PAUL MAKONDA KUHUSU MCHAKATO WA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA LIVE!!

$
0
0
Paul C. Makonda's photo.

Ijumaa ijayo yani tarehe 31 itakuwa siku Ya mwisho kujiandisha ili uwe mpiga kura wa 2015. Wilaya yetu ya Kinondoni inavituo 706 vyakujiandikisha.


Na siku ya kwanza tulipokea BVR MACHINE 656, baada ya BVR kuwa chache tukaomba tukaongezewa BVR 121, tena nikaogezewa BVR 200, tena nikaongezewa BVR 160, na leo Nimepata BVR 50 na sasa wilaya ya kinondon ina BVR MACHINE 1187. kwa maneno hayo viko vituo vina BVR MACHINE 1 ktk kituo cha watu wachache na viko vingine kuna BVR MACHINE 3 kwenye kituo cha watu wengi. Hii yote ni kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi ili wajiandikishe haraka zaidi.
SWALI LANGU JE KUNA KITUO CHOCHOTE UNGEPENDA KESHO DC WAKO WA KINONDONI AKITEMBELEE ILI KUONGEZA KASI YA UANDIKISHWAJI AU KUNA TATIZO LOLOTE ,NAOMBA UNITAJIE HICHO KITUO CHA UANDIKISHWAJI na mimi nitaenda KUSHUGULIKIA KERO ili ifikapo ijumaa ya Tareh 31 wenyesifa ya kupiga kura wapate nafas ya kujiandikisha.
WWW.PAULMAKONDA.COM

HATIMAYE MBUNGE WA CHADEMA MKE WA MTOTO WA BABA WA TAIFA ATIMKIA CCM SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0
 Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Leticia Nyerere, amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Tangu awali mbunge huyo alisakamwa na maneno mengi kutoka kwa viongozi wa Chadema akiwemo kwamba aachane na ubunge ndani ya Chadema ili ajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa upinzani.



Name:  Leticia.jpg Views: 527 Size:  72.3 KB


Mbunge wa Viti maalumu Chadema mkoani Mara, Leticia Nyerere, (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam jana kuhusu kuhama kutoka chama chake cha chadema na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia ni mtoto wake,Helena Nyerere na Julia Nyerere.

SOMA MANENO YA KWANZA YA LOWASA NDANI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA LIVE!!

$
0
0


Baada ya kuwa kimya muda mrefu ''THE WHITE'' amesema "Wabunge zaidi ya 150,Wakuu wa wilaya ,wa Mikoa na Viongozi mbalimbali wa Serikali nao watanifuata,ndani ya siku mbili kuanzia leo." - CHANZO Kikaoni



RAIS WA DUNIA OBAMA AACHA GUMZO KENYA ONA SATILI YAKE YA KUONDOKA IMEKAA KIJASUSI JASUSI LIVE!!

$
0
0
obama

Rais Obama akiwaaga Wakenya wakati akiondoka.
obama 2
Obama akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta tayari kuondoka.
obama 3
Obama akiagana na Rais Uhuru Kenyatta.
obama 4
Mama Sarah Obama akiwa tayari kumuaga Obama.
RAIS wa Marekani, Barrack Obama leo jioni amekamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya ambapo alifungua kongamano la kibiashara, akawahutubia Wakenya katika Uwanja wa Kasarani na baadaye kuzungumza na viongozi wa mashirika ya kijamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. :

MANENO YA KWANZA YA MBUNGE WA CHADEMA MNYIKA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU LOWASA SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

SERIKALI IACHE KUMLINDA LOWASSA

By John Mnyika

Siku chache zilizopita. Nilitoa taarifa hii kwa vyombo vya habari. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sizifahamu, habari hii haikutoka katika magazeti mengi ya kila siku. Pengine inaweza ikawa ni njia iliyotumika kufikisha ujumbe(barua pepe)
lakini kuna uwezekano mkubwa sababu ikawa ni kuwa Lowassa hakutajwa kuchukuliwa hatua kama hizi ambazo nimezieleza hapa katika yale Maazimio 23 ya Bunge. Yeye aliambiwa tu atakafakari na kuchukua maamuzi ambayo ataona yanafaa. Yeye akaamua kujiuzulu. Lakini bado siridhiki sana na sababu hii kwa kuwa maazimio hayo 23 hayajasema Karamagi na Msabaha wachunguzwe kuhusu Rushwa kama serikali ilivyoamua. Kama imeamualiwa na Serikali hawa wachunguzwe, kwanini serikali haikumjumuisha na Lowassa? Hii inafanya niamini kwamba bado msimamo huu hapa chini ni mwafaka:

TAARIFA KWA UMMA
SERIKALI IACHE KUMLINDA LOWASSA
Ni mmoja wa mizizi ya ufisadi wa Richmond
Akamatwe, ahojiwiwe na achukuliwe hatua za kisheria.


Tarehe 25 Februari, 2008 Vijana wa CHADEMA tulitoa taarifa kwa umma tukikemea jitihada zilizokuwa zikiendelea za Lowassa kujisafisha na kusafishwa na tukahimiza achukuliwe hatua za haraka kutokana na tuhuma za ufisadi na/ama matumizi ya madaraka katika kashfa ya RICHMOND. Pamoja na taarifa yetu hiyo kwa umma katika kipindi chote ambacho Serikali ilipewa na Bunge kutekeleza maazimio ya Bunge kuhusu suala hilo hatua tulizopendekeza hazikuchuliwa. Aidha tumefadhaishwa zaidi na Taarifa ambayo Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo ameiwasilisha Bungeni Alhamisi 28 Agosti, 2008 pamoja na kutaja hatua ambazo zimechukuliwa kuhusu watuhumiwa wengine ikiwemo kuandikiwa Barua za kujieleza na/ama kuanza kuchunguzwa na vyombo vya dola/usalama; Waziri Mkuu hakueleza hatua ambazo zimeaanza kuchukuliwa dhidi ya Bwana Lowassa.

Tunatambua kuwa Waziri Mkuu katika taarifa yake ameeleza kuhusu hatua ambazo serikali imeanza kuchukua ikiwemo za marekebisho ya Sheria ama mifumo ya uwajibikaji, ikiwemo ile ya manunuzi. Hata hivyo, tungependa kuweka bayana kwamba matatizo ya msingi ya taifa letu hayasababishwi na mapungufu katika sheria pekee, ila kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na kulegea kwa misingi ya utawala wa sheria na uwajibikaji miongoni mwa viongozi. Hivyo, tunapenda kuwajulisha Watanzania kuwa kama watuhumiwa wa ufisadi hawatachukuliwa hatua mapema, misingi ya utawala wa sheria itazidi kutetereka na matokeo yake ni kuwa mageuzi yoyote katika mifumo ya kiutawala hayatatekelezwa kikamilifu. Kwa ujumla tunaamini kwamba utamaduni huu wa kulindana katika serikali unatoa mfano mbaya kwa vijana wa kitanzania kuhusu uongozi na utawala bora.

Tungependa kusisitiza kuwa Bwana Lowassa, akiwa Waziri Mkuu wa nchi yetu wakati huo alikuwa mmoja wa mizizi mikuu ya ufisadi wa RICHMOND. Hivyo, tunaona kuwa Taarifa ya Utekelezaji ya Waziri Mkuu Pinda imejikita katika kushughulikia matokeo badala ya mzizi wa tatizo lenyewe na hivyo kama hali hii ikiendelea itaporomosha nidhamu na uwajibikaji katika taifa letu. Tunaamini kwamba kama Bwana Lowassa aliyekuwa kinara wa Serikali wakati huo, ataweza kuchukuliwa hatua kikamilifu basi itakuwa rahisi kwa waliokuwa chini yake kuweza kuchukuliwa hatua za haraka na hatimaye kurejesha maadili katika utawala. Lakini kama Serikali itaendelea kumlinda Bwana Lowassa na kuwatoa kafara maafisa wa chini, bado haitakuwa imetekeleza kikamilifu dhana ya uwajibikaji na utawala wa Sheria. Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na mawaziri wenzake kadhaa ni hatua ndogo sana katika kashfa iliyohusisha uvunjaji wa Sheria za nchi yetu, mazingira ya ufisadi na hasara kubwa kwa taifa.

Sisi tunaona kutotajwa kikamilifu kwa hatua zilizochuliwa juu ya Bwana Lowassa ni mwendelezo wajitihada za miezi ya karibuni za Bwana Lowassa(Mb) kupita akijitetea kuanzia katika hotuba yake alipokwenda Jimboni Monduli na kunukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari na hata mahojiano yake maalumu na Televeshioni ya Taifa(TVT).

Aidha, taarifa ya Waziri Mkuu Pinda imeakisi uamuzi wa Waziri Mkuu aliyejiuzulu Bwana Edward Lowassa kujitokeza miezi ya karibuni kujitetea kuhusu kuhusika kwake katika kashfa ya Richmond ambayo kwa ujumla ni ishara ya unafiki wa kisiasa. Itakumbukwa kuwa baada ya Kamati Teule kuwasilisha taarifa yake, Bwana Lowassa alipata nafasi bungeni takribani mara mbili kama kiongozi wa shughuli za serikali bungeni wakati akiwa Waziri kuzungumzia suala hili lakini hakutoa utetezi ambao Mwezi Februari alijaribu kuutoa kwa umma. Waziri Mkuu Pinda inabidi auleze Umma kama uamuzi wa kumtomtaja katika Taarifa yake ya utekelezaji kuhusu hatua ambazo amechuliwa ni ishara kuwa serikali imekubaliana na utetezi wa Bwana Lowassa.

Itakumbukwa kuwa Vijana wa CHADEMA tulieleza wazi kwamba katika kujitetea kwake mwezi Mei, Bwana Lowassa alithibitisha wazi uzembe na matumizi mabaya ya madaraka ambayo aliyafanya alipokuwa Waziri Mkuu wakati wa sakata zima la Richmond. Hivyo, tunarudia kutoa mwito kwa vyombo vya dola kuweza kumkamata, kumhoji na kumchukulia hatua za kisheria dhidi ya uzembe na matumizi hayo mabaya ya madaraka kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Badala ya Bwana Lowassa kuendelea kupita akijitetea kuwa Kamati Teule haikumuita kuweza kujieleza; vyombo vya dola vimkamate akatoe maelezo yake panapohusika. Vyombo vya dola vimekuwa vikiwakamata raia wa kawaida wenye taarifa za uhalifu kuweza kuisadia polisi, inashangaza Bwana Lowassa amejieleza wazi kuwa alikuwa anafahamu uhalifu uliokuwa ukitendeka lakini bado yuko nje akijitetea na pia Taarifa za kiserikali zikielekea kumlinda. Tunaamini akikamatwa yeye, atawezesha watuhumiwa wakuu wa kashfa ya Richmond kuweza kupatikana. Tulieza wazi katika tamko letu na Mwezi Februari kuwa , jitahada zozote za kumlinda na kumtetea zingeweza kuathiri mwekekeo wa hatua ambazo zitanatarajia kupendekezwa na Kamati ya Waziri Mkuu mpya Mheshimiwa Mizengo Pinda. Kutokana na Taarifa ya Waziri Mkuu Pinda aliyowasilisha Bungeni Alhamisi tarehe 28 Agosti, 2008 ni wazi kuwa kuna kila dalili kuwa mwelekeo huo umeanza kuathiriwa, hivyo tunarudia tena kutaka Bwana Lowassa achukuliwe hatua kabla ya Bunge la Mwezi Novemba, 2008.
Bwana Lowassa akiwa Waziri Mkuu amethibitisha kwamba maneno yake mwenyewe kuwa alikiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995 na Sheria ya Makosa ya Udhibiti wa Uhujumu wa Uchumi wa nchi ya Mwaka 1984.

Bwana Lowassa alikiri kwamba alikuwa anafahamu kwamba Richmond ni kampuni ya kitapeli, lakini katika kipindi chote cha uongozi wake aliinyamazia hali hii na kwa kiasi kikubwa aliitetea kampuni hiyo mbele ya macho ya umma. Wakati wa Viongozi mbalimbali wa upinzani walipoweka bayana kwamba Richmond ni kampuni isiyo na uwezo, serikali ilitetea kampuni hiyo. Vyombo mbalimbali vya habari vilimtuhumu Bwana Lowassa mwaka 2006 na 2007 kama kiongozi wa Shughuli za serikali bungeni, kwamba alishiriki ‘kuwaziba midomo’ wabunge wa CCM wasijadili suala hili. Pia, ni Bwana Lowassa huyo huyo, alinukuliwa akiwa Arusha akiwataka watanzania wasiijadili kampuni ya Richmond baada ya mvua kuanza kunyesha. Kama Bwana Lowassa wakati wote huo alijua kama ni kampuni ya kitapeli kama anavyojaribu alivyojaribu kujitetea, uamuzi wake wa kuwaasa watanzania wasiijadili ulikuwa ni wa kulinda ufisadi ambao aliufahamu. Inashangaza pia ni Lowassa huyo huyo alisema alijua kuwa Richmond ni kampuni ya kitapeli; ni Lowassa huyo huyo alisema kwamba alishauriwa vibaya na watumishi wa umma aliowataja kuhusu uwezo wa Richmond; Ni Lowassa huyo huyo aliyesema kwamba alijua kuwa TANESCO chini ya Menejimenti ya Net Group Solution walitaka kuhujumu mchakato wa tenda na hivyo ‘kuwanyang’anya’. Lakini ni Lowassa huyo huyo aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye angeweza kuviagiza vyombo vya dola kumwezesha kuthibitisha ‘utapeli wa Richmond’; hivyo, maelezo ya sasa yanayotolewa kuhusu ushiriki wake yanaonyesha kuwa sasa kuna mwelekeo wa kumlinda.

Tunaendelea kushangazwa na Serikali na Bwana Lowassa kutumia utetezi wake kueleza tu nia yake ya kutaka mkataba wa Richmond usitishwe; nia ambayo kama ni kweli alikuwa na uwezo wa kuitekeleza na hakuitekeleza. Tunaitaka Serikali na Bwana Lowassa kuweka bayana ni kwa vipi Richmond ilipewa tenda hiyo na kwa shinikizo la nani. Bwana Lowassa anakwepa kuyazungumzia haya kwa kuwa anajua kabisa kwamba ni yeye aliyetumia madaraka yake vibaya alipokuwa Waziri Mkuu kwa kukiuka Sheria na Taratibu za Ununuzi kwa ‘kupora’ mchakato uliokuwa ukiendeshwa na TANESCO, ‘kuunda kamati yake’ na kuzisukuma mamlaka za ununuzi hali iliyopelekea Richmond kupewa tenda ili hali haikuwa na uwezo uliotakiwa. Ni uzembe huu ambao umelisababishia hasara taifa kwa kulipa shilingi milioni 152 kila siku kwa kampuni ya Dowans iliyohamishiwa mkataba wa kitapeli wa Richmond; na takribani bilioni 172 kwa ujumla ambazo taifa linawajibika kuzilipa kutokana na kukodisha mitambo hiyo. Hvyo tunarudia tena rai yetu ya kutaka fedha zilizozilipwa kizembe mpaka sasa kurejesghwa serikalini. Kwa vyovyote vile, jitihada za Bwana Lowassa za kuhamasisha ujenzi wa Sekondari Kata, na utumishi wake kama Waziri Mkuu katika kipindi cha miaka miwili, haviwezi kuzidi hasara aliyosababisha katika uchumi wetu kipindi chote tulichokosa umeme wa dharura na wala hailingani na hasara ambayo tunaendelea kuilipa kila siku iendayo kwa Mungu. Maamuzi haya ya Bwana Lowassa yanaendelea kuwaumiza wananchi wote ikiwemo wa Jimbo lake la Monduli ambao wanataabika kwa mzigo wa gharama za umeme.

Tunarudia tena kumkumbusha Rais Kikwete kwamba Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inamtaka Rais kuhakikisha kwamba taratibu zinatengenezwa zitakazojenga maadili na kuongeza imani ya wananchi kwa uadilifu wa viongozi wa umma na katika taratibu za utoaji maamuzi ndani ya Serikali na katika sekta ya umma. Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma vile vile imeweka kanuni zinazotakiwa kuongoza utendaji wa viongozi wa umma: kwamba wanapokuwa madarakani, viongozi wa umma watakuwa waadilifu, wenye huruma, utulivu, umakini na watakaoendeleza viwango vya juu vya maadili ili kujenga na kuendeleza imani ya umma kwa uadilifu wa Serikali. Kuhusiana na utoaji wa maamuzi, viongozi wa umma watatekeleza wajibu wao kufuatana na sheria na kwa maslahi ya umma. Hivyo, taarifa ya Waziri Mkuu Pinda kutokueleza bayana hatua ambazo Bwana Lowassa ameshachukuliwa au atachukuliwa ni ishara kuwa kauli ya Rais Kikwete aliyoitoa wakati akizungumza na Wazee wa CCM mkoani Dar es Salaam kwamba Bwana Lowassa amepata tu ‘ajali ya kisiasa’, na kumsifu kwa utumishi wake imechangia kumlinda mhusika huyu mkubwa katika sakata zima la RICHMOND. Vijana wa CHADEMA tulitarajia kuwa, baada ya Bwana Lowassa kukiri mwenyewe hadharani kuhusu uzembe wake na matumizi mabaya ya madaraka Rais Kikwete angelekeza hatua za kuchukuliwa dhidi yake badala ya kuendelea kumpamba kama “shujaa wa uwajibikaji’, kinyume na hayo tutaamini kwamba serikali yake inaendeshwa kwa ‘ubia wa kulindana’. Aidha tunarudia kutoa rai kwamba Rais Kikwete kuwafukuza kazi watumishi wote wa umma waandamizi ambao wametajwa na Bwana Lowassa kushiriki uzembe na matumizi mabaya ya madaraka; watumishi ambao walitajwa pia na Kamati Teule ya Bunge lakini mpaka sasa wanaendelea kutumikia nafasi zao mbalimbali. Kwa kuwa Waziri Mkuu Pinda ameshatangaza kwamba kwa wale wateule wa Rais, Kamati yake imeshapeleka suala zima kwake, tunategemea Rais atachukua hatua za haraka ili kuonyesha mfano kwa viongozi wengine wa chini yake wanaotarajiwa kuchukua hatua kwa watumishi wa chini.

Kadhalika tunapenda kuvikumbusha tena vyombo vya dola kwamba Sheria ya Udhibiti wa Makosa ya Kuhujumu Uchumi ya mwaka 1984 inatamka makosa yafuatayo kuwa baadhi ya makosa ya kuhujumu uchumi ni pamoja na yale yote yenye kusababisha hasara kwa mamlaka ya Serikali. Pia Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11 ya mwaka 2007 inatamka kuwa ubadhirifu na/au ufujaji wa mali ya umma unaofanywa na watumishi wa umma na Matumizi mabaya ya madaraka kwa ajili ya manufaa binafsi, ni sehemu ya ufisadi. Bwana Lowassa alithibitisha kwamba maneno yake kwamba wapo viongozi waandamizi wa Serikali ambao amewataja kwa majina wamefanya maamuzi ya kifisadi, kitendo chake cha kunyamazia ufisadi huo- kinafanya iwe vigumu kwa yeye kutenganishwa na tuhuma za ufisadi zilizomo katika mchakato mzima wa kupewa tenda kwa kampuni ya Richmond na mambo yote yaliyotokea baada ya Mkataba huo kuhamishiwa kwa kampuni ya Dowans.

Aidha tumefadhaishwa na Taarifa ya Waziri Mkuu Pindi kwamba kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na Baadhi ya Mawaziri ilikuwa ni ishara ya hatua ambazo serikali imechukua kutekeleza maazimio ya Bunge kuhusu suala husika. Tunarudia kukumbusha kwamba toka sakata la Richmond lilipoanza zaidi ya mwaka mmoja uliopita tulimtaka Bwana Lowassa kujiuzulu kulinda heshima yake lakini alikaidi na kuitetea kampuni ya Richmond. Uamuzi wa yeye kujiuzulu baada ya kashfa yote kuwa hadharani, umesaidia tu kuilinda serikali ya CCM lakini katu hauwezi kumpatia heshima ya uwajibikaji na wala hakuwezi kuwa ishara ya kwamba Maazimio ya Bunge yameshatekelezwa.

Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA), kwa taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na kumtangaza Lowassa kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa kuendelea inatoa mfano mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote katika taifa letu, mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya mafisadi(list of shame) kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni kuharibu maana nzima ya ushujaa katika uwajibikaji.

“Inasikitisha kwamba vijana wezi wadogo wadogo wakijazana magerezani. Vijana wamachinga kuendelea kukosa mitaji na maeneo ya kufanyia biashara; wanafunzi wa elimu ya juu wakipandishiwa ada na wengine kukosa mikopo- huku fedha za walipa kodi zikiendelea kuteketea kwa ufisadi na watuhumiwa wa ufisadi wakiendelea kutamba hadharani. Hali hii ikiachwa, itaharibu utawala wa sheria na kuleta matabaka katika taifa letu. Vijana tusingependa kuona nchi yetu inatumbukia kwenye migawanyiko kwa sababu ya kuwalinda watu wachache kwa kisingizio cha haki za binadamu”
Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008 safirini Kenya na:
John Mnyika
Mkurugenzi wa Vijana
0754694553

LOWASA KUHAMIA CHADEMA DR. KITILA MKUMBO AWATAKA CHADEMA KUOMBA RADHI SASA KWA WANANCHI ONA HAPA ZA USO LIVE!!

$
0
0

In my article in The Guardian on Sunday of 28th June 2015, among other things, I said: "Predictably, CHADEMA is hoping to benefit from CCM’s nomination squabbles, and it could field one of the CCM leftover candidates for presidency".


This attracted scathing attack from my 'friends' in CHADEMA. I hope that they will be courageous enough to say the three word sentence: "We are sorry" Ndugu Kitila, you saw it coming. Hongereni sana kwa ujasiri watani zetu!! and then in the same article I raised the following questions, which can now be answered perfectly well with great certainty:

There are clearly two big questions that will continue to boggle the minds of political analysts in the run up to CCM’s nomination day on the 12th July 2015. First, how can CCM avoid nominating Lowassa in the context of his massive following within and outside the party? Second, in the unlikely event that Lowassa is prematurely removed from the ballot paper in the CCM nomination process, will he have the audacity to join the opposition? We will have to wait for at least two weeks until July to be able to answer these questions and this was my conclusion in case Lowassa was axed from the CCM's nomination process:

"In any case, Lowassa’s axing and eventual joining of the opposition would be welcome by progressive elements in the country who have eagerly waited for decades for the splinter of the CCM; this could surely mark the beginning of the end of the party’s hegemony in Tanzania’s politics". Or will it? Let the drama begin. This is likely to be the most charm election in the history of Tanzania!
 
Kitila Mkumbo
Monday, 27 July 2015

BREAKIN NEWZZ!!:- UKAWA WAMKARIBISHA RASMI LOWASA KUONGOZA MAPAMBANO AGAINST CCM ONA HAPA LIVE!!

$
0
0

East Africa Television (EATV)'s photo.


#‎HABARI‬ LOWASSA AKARIBISHWA RASMI UKAWA

Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema umemkaribisha rasmi Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kujiunga nao katika harakati za kuking'oa Chama cha Mapinduzi (CCM).


Mbatia: Tunamkaribisha rasmi aliyekuwa waziri mkuu mstaafu, Edward Ngoyaye Lowasa kujiunga na UKAWA, ni mchapakazi makini na mtekelezaji wa majukumu, UKAWA ndio tumaini la Tanzania, tusikubali kunyamaza pale ambapo sauti zetu zinazimwa kwa lazima. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki UKAWA, UKAWA ndio tumaini letu.

Mbatia: Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, Mwanzoni wa mwezi wa nane(wiki ijayo) tutamtangaza mgombea wetu kwa mbwembwe, tumeshapiga hatua ambayo ni nzuri

Lipumba: "Lowasa alishasema yeyote mwenye ushahidi aulete..hapa tumekaribisha Watanzania wote kujiunga. Kuhusu CUF kusuasua UKAWA: Chama chetu hakijasusua bali kilikuwa kinafuata taratibu za chama na mkutano mkuu umebariki, yeyote atakaechaguliwa kupitia UKAWA, mimi nitamuunga mkono, chama kimebariki maamuzi haya, unapozungumza na mwenyekiti wa CUF basi ndio unazungumza na CUF.

LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH MY SUPER FRIEND THE SON OF THE PRESIDENT & MP FOR CCM CHALINZE LIVE!!

$
0
0
Le Mutuz Nation with The Son of the President Mbunge wa CCM Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete live at Mliman City!!

Add caption

LE BIG SHOW AT THE BIRTHDAY OF SUPER BILIONEA RUMMY LIVE AT DOWNTOWN BONGO U KNOW!!

HATIMAYE CHADEMA WAANZA KULAMBA MATAPISHI YAO WENYEWE WA KWANZA HUYU HAPA DR. SLAA LIVE!!

$
0
0
HATUTACHUKUA WALIOKATWA NA CCM WAKITAKA WAJE MAPEMA-DKT SLAA

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitasubiri wanachama watakaoachwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao.
Kutokana na tamaa ya kuingiza watu wengi kwenye Bunge, vyama vya upinzani vimekuwa na tabia ya kuwapokea wanachama wa CCM wanaoshindwa kwenye kura za maoni na baadaye kuwapa nafasi ya kugombea ubunge, lakini Dk Slaa anasema safari hii hawatakuwa tayari kufanya hivyo.
“Tulishasema kwamba kwa ngazi zozote hata ngazi za udiwani au ubunge hatusubiri mabaki, makapi yatakayotokea CCM ndiyo yaje kwetu,” alisema Dk Slaa katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.
 

“Safari hii hatusubiri. Tulishasema kuwa wagombea wetu tunawaandaa mapema ili tusitegemee mtu anayekuja dakika za mwisho kuwa ndiyo atuokoe.” Kauli ya Dk Slaa inaweka msisitizo katika ile iliyowahi kutolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwamba hawatapokea wanasiasa watakaoihama CCM ili kupata nafasi za uongozi kwa tiketi ya Chadema.

Katika mahojiano hayo, Dk Slaa alisema: “Huwezi kuzuia kupokea mwanachama kokote alikotokea, lakini unapofika wakati wa kuweka watu katika nafasi, lazima ufikirie.”
Mwaka 2010, Chadema ilipokea wagombea wawili walioshindwa kwenye kura za maoni za CCM, John Shibuda aliyeshindwa katika kura za maoni za Maswa Magharibi na Freddy Mpendazoe ambaye alienguliwa kwenye kura za maoni za CCM Jimbo la Segerea. Shibuda alifanikiwa kurudi bungeni baada ya kushinda uchaguzi wakati Mpendazoe alishindwa katika hali ya kutatanisha na juhudi zake za kutengua matokeo hayo mahakamani ziligonga mwamba. “Tatizo hilo lilitokana na ugeni wetu,” alisema Dk Slaa akizungumzia kitendo cha Chadema kupokea wagombea walioshindwa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

“Lakini kwa wakati huu, Chadema ina wanachama wengi wenye sifa za kugombea hivyo hatuhitaji kusubiri mtu,” aliongea katibu huyo mkuu ambaye aliwahi kutangaza kuwa nafasi za wagombea ubunge wa Chadema katika majimbo yote nchini zitatangazwa kwenye magazeti na watakaojitokeza, watafanyiwa usaili.
Kuhusu uchaguzi mkuu wa chama hicho, Dk Slaa alisema utafanyika Desemba mwaka huu baada ya kuridhiwa na kikao cha Kamati Kuu kitakachofanyika Julai 18. Alisema wanahakikisha uongozi unapatikana kuanzia ngazi za chini na watachukua hatua kwa maeneo ambayo watabaini viongozi wamepeana nyadhifa bila chaguzi madhubuti kufanyika.

Chanzo: Mwanachi, 08/07/2014

LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH MY BABY SUPER SHETFA LIVE AT TRIPPLE 7 CLUB MIKOCHEN KWA WEREVU LIVE!!

$
0
0
Le Mutuz Nation + Super Shetfa le mbebezzz bongo ni tambalalezzz live!!





LE MUTUZ NATION CHILLING OUT WITH MY SUPER FRIEND SUPER STAR SINGER BABY MADAHA LIVE AT TRIPPLE 7 CLUB JANA!!

$
0
0
Le Mutuz Nation + Super Star Singer Baby Madaha live at Tripple 7 Club last night!!






MY SUPER FRIEND CHRISTINE THE OWNER OF MADILLA GENERAL SUPPLY LTD. HANGING AT DOWNTOWN LEO!!

LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH BIG STARS AT DOWNTOWN BONGO LIVE!!

$
0
0
Le Mutuz Nation + Mr. Majee the Owner of EFM Radio live!!

Le Mutuz Nation + Super Star Singer Vanessa Mdee!
Le Mutuz Nation + TV Super Star Mboni Masimba live!!

Le Mutuz Nation + Super Model Pendo + Super Star Sheha TID's Baby!

Le Mutuz Nation with Super Stars Sheha Mkubwa  + Sheha Mdogo
Super Star Singer Ben Paul + Le Mutuz Nation + Super Star Singer Barnabas + Super Star Singer John Makin

Le Mutuz Nation + Media Super Star Fina Mango


BALAA LA HAMA HAMA VYAMA LEO LA HAMIA HUKU.

$
0
0
MWENYEKITI WA ACT BI ANNA MGHWIRA AKIKARIBISHA MADIWANI WALIOHAMA CHADEMA MKOANI SHINYANGA.




FEDHA ALIZOCHANGIWA LOWASSA ZATAFUNWA

$
0
0

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. 
WANACHAMA wa kundi la Marafiki wa Edward Lowassa waliochanga fedha za kumwezesha waziri mkuu huyo wa zamani kuchukua fomu ya kugombea urais, wamemtuhumu aliyekuwa naibu katibu wao, George Kivuyo (pichani) kutafuna  fedha hizo. 
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa baadhi ya wanachama hao wanaojulikana kama Team Lowassa 4 President, zinadai naibu katibu mkuu huyo ambaye pia ni mweka hazina wao, alitafuna kiasi cha shilingi laki saba zilizochangwa. 
Walidai fedha hizo ziligunduliwa kutotumika ilivyopaswa baada ya kutojulikana zilipo na alipoulizwa hakuwa na majibu ya kueleweka.  



KWA NINI UKAWA WAMEAMUA LOWASSA AWE MGOMBEA WAO URAIS?? TUNDU LISSU AFUNGUKA KILA KITU

$
0
0

Kwa Nini UKAWA Wameamua LOWASSA Awe Mgombea wao wa Urais??..... Tundu Lissu Amelijibu Swahi hili kwa Ufasaha Kabisa hapo chni:
Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now.
Na amekuwa hivyo kwa muda mrefu. Sisi CHADEMA tulimweka kwenye Orodha ya Mafisadi kutokana na kuhusika kwake na Kashfa ya Richmond mwaka 2007.
Kwa hiyo swali halali kabisa ambalo lazima tulijibu kwa ufasaha ni hili: kwa nini tumekubali, sio tu kumpokea kama mwanachama, bali kumpa heshima ya kuwa mgombea wetu wa urais.  



Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>