↧
MGOMBEA UBUNGE AKAMATWA NA TAKUKURU AKITOA RUSHWA.
↧
MBUNGE AMNYONYESHA MTOTO WAKE BUNGENI.
↧
↧
TAFAKARI YA LEO KUHUSU MGOMBEA URAIS.
↧
KAULI YA EDDO KUMWEMBE KUHUSU LOWASSA KUHAMA

↧
TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAZINDUA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser Akitoa Mada kwenye Mradi wake aliouanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali.Mafunzo hayo yalianza jana Chini ya Taasisi ya Manjano Foundation.Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.
Washiriki wa Mafunzo ya Usajiriliamali yalio chini ya Manjano Foundation wakisiliza kwa Makini Mada Mbalimbali kihusu Mafunzo hayo ya kuwajengea wanawake wa Kitanzania uwezo wa Kudhubutu Kufanya biashara ,Kujisimamia na Kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara Hususani Kupitia Bidhaa za Vipodozi vya Luv Touch Manjano.
Washiriki wa Wafunzo hayo wakisikiliza kwa Makini
Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa miradi na programu ambazo zitamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha yake. Taasisi hii limekwishazindua mradi wenye kubeba bendera yake, Manjano Dream-Makers, mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano tu.
Mradi huu Uzinduliwa Na Mama Tunu Pinda Ambapo Alisema amefurahishwa sana Kwa Mwanamke wa Kitanzania Kuzindua Mradi utakaomkomboa Mwanamke wa Kitanzania Kuondokana na Umaskini kwa Kudhubutu Kujikita kwenye Biashara hasa kwenye Bidhaa za Vipodozi
↧
↧
DIAMOND PLATINUMZ AMLIZA WEMA SEPETU!

Staa wa Bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Inasikitisha! Mrembo Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akiangua kilio baada ya kupewa maneno ya kejeli na aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufuatia kupigwa chini kwenye kura za kuwania Ubunge wa Viti Maalum mkoani Singida kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

TUJIUNGE NA CHANZO
Chanzo makini kililiambia Ijumaa Wikienda kwamba, Julai 24, mwaka huu Wema alijikuta akiangua kilio cha aina yake kufuatia maneno ya kumshambulia kutoka kwa watu mbalimbali akiwemo Diamond muda mfupi baada ya kuangushwa katika kinyang’anyiro hicho cha ubunge kilichofanyika katika Wilaya ya Ikugi, Singida.
Kiliendelea kunyetisha kwa sauti ya upole kwamba, miongoni mwa vitu vilivyosababisha Wema kudondosha chozi ni pamoja na maneno ya Diamond aliyoandika muda mfupi tu katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram huku akijua wazi kwamba mwanadada huyo alishapoteza fedha nyingi ili apate nafasi ya kuingia mjengoni, Dodoma.
“Ujue watu wengi hawakujua kilichomuuma zaidi Wema ila mimi kaniambia kwamba, kilichomuuma si kukosa nafasi hiyo ila ni maneno ya Diamond aliyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram maana yamemchoma na hakutarajia kama ‘ex’ wake huyo angefikia hatua ya kuonesha chuki zake wazi kiasi hicho.
“Wema alikuwa na matumaini makubwa ya kuibuka mshindi kwenye mchakato huo kutokana na kujulikana kwake na namna wajumbe walivyokuwa wanampa matumaini ila hali imekuwa ndivyo sivyo.
“Baada ya matokeo, sisi tulimuona akiwa kawaida tu lakini baadaye alibadilika na kuwa mnyonge hali iliyonifanya nimuulize kisa cha kuwa vile ndipo akaniambia maneno ya kwenye mitandao yanamchoma.
KUMBE ALITUMIA FEDHA NYINGI
“Unajua amekuwa wa mwisho kwa kupata kura 90 hivyo ni wazi kuwa hana chake tena katika kuwania nafasi hiyo na alitumia fedha nyingi kwenye kuomba kura kwa wanachama (haikufafanuliwa kivipi kwa madai kwamba alitoa hongo), hawezi tena kuingia mjengoni kwani nafasi tatu zimechukuliwa na wenzake hao, hivyo anachotakiwa kuanzia sasa ni kujipanga ili kama itawezekana baada ya miaka mitano ijayo agombee tena,” kilisema chanzo hicho.
WEMA ANASEMAJE?
Ijumaa Wikienda, kama kawaida yake, baada ya kupata ‘unyunyuzi’ huo lilimtafuta Wema ili aweze kuanika hisia zake baada ya matumaini yake kuishia njiani ambapo alisema kwamba anaamini kila jambo limepangwa na Mungu hivyo haikuwa bahati yake zaidi ataendelea kujipanga kwa kipindi kingine.
“Namuachia Mungu maana kila jambo hupangwa na yeye, hakuna mtu anayeshindana akashindwa halafu awe ‘happy’ tu, nimeumia isipokuwa Mungu ndiye jibu la kila kitu,” alisema Wema na kuongeza:
“Nilipoamua kugombea nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa lakini dunia inazunguka.
“Nawashukuru wote walionipinga kwa sababu waliniongezea ujasiri.”
Kwa upande wa Meneja wa Wema, Martin Kadinda aliweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter: “Haikuwa vile tulivyotarajia….hongera Aysharose Mattembe.”
Maneno ambayo aliyaposti Diamond yaliyomchoma Wema hadi kufikia hatua ya kumwaga chozi yalisomeka: “Sitaacha kuwashukuru Wanasinginda kwa mapenzi yenu ya dhati mliyonioneshea, Moshi tukutane Kili Home.”
Wema alikuwa ni miongoni mwa wagombea wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Wilaya ya Ikungi, Singida ambapo mchakato wa kura za maoni ulifanyika Julai 24, ambapo aliambulia kura 90 akishika nafasi ya nne huku mtu wa kwanza Aysharose Mattembe alikipata kura 311, nafasi ya pili ikichukuliwa na Martha Mlata aliyezoa kura 235 na ya tatu akichukua Diana Chilolo kwa kura 182.
SABABU ZA KUSHINDWA
Wikiendi iliyopita mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii ilikuwa ni ishu ya Wema kukosa ubunge ambapo miongoni mwa sababu hizo ni skendo mfululizo na picha zisizokuwa na maadili zilizojaa mitandaoni na kwamba CCM kwa sasa ipo kwenye mkakati mkali wa kusimamia maadili ya chama.
↧
BREAKING NEWSSS: ANGALIA TWEET YA RAIS KIKWETE MARA BAADA YA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA

Madiwani. Mchakato unaoendelea ni uteuz ndani ya Vyma vya siasa kuelekea Uchaguzi huo.Kada wa CCM Mh Edward Lowassa amekuwa Gumzo mara
↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO TUESDAY /JUMANNE 28/07/2015 LIVE!!
↧
THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK LIVE STRAIGHT TALK FROM DOWNTOWN BONGO U KNOW!!

Morning WATU kuingia kwa Lowasa CHADEMA/UKAWA kunabadilisha kabisa sura ya uchaguzi huu na kuipa CCM Chama changu the First ever serious political challenge toka tupate Uhuru na who is to blame ni CCM itself nilisema huko nyuma kwamba after the process ya kupata Mgombea wao wa Urais this time kulitakiwa some serious explanations of why Lowasa aliyeonyesha kukubalika zaidi in the end hakuwemo hata kwenye Tano bora..
Mwalimu was the greatest Leader ever lakini alikuwa ni binadam mwenye mapungufu na tatizo la Lowasa sasa hivi hata yeye anahusika cause hakuna system ya Demokrasia Duniani inayokuruhusu mwanachama wake mmoja kuwa Kiongozi wa Chama cha Siasa na kushika nafasi zake zote za Uongozi isipokuwa Urais tu hapana Mwalimu mwenyewe aliwahi kusema "Ukweli ukiminywa huwa una tabia ya kurudi na adhabu" now hii ni adhabu inairudia CCM ya kuishi na Kiongozi asiyetakiwa kwenye Urais tu...Kuingia kwa Lowasa opposition kunawapa meno makali sana wapinzani ambayo hawajawahi kuwa nayo which attracts International Community ni Furaha ya Wazungu kutuona tukivurugana we Africans wakati wa Vita vya Idd Amin wote Tanzania na Uganda tulikuwa tunauziwa Silaha na agent mmoja bila kujua kwa jina Adinan Kashoghi aliyekuwa anazitoa Soviet Union...now UKAWA watapata misaada mizito na mikubwa guaranteed from maadui namba moja wa CCM Labor Party ya Tony Blair na Scandnavians Countries...
huu ni wakati wa CCM kutuliza Vichwa vikubwa chini in life tunavuna tulichopanda huwezi kupanda mahindi ukavuna Mihogo ili kutatua tatizo ni lazima kwanza kukubali kuwa una tatizo na in this case CCM ikubali kwanza kwamba tatizo la Lowasa wa kulaumiwa ni CCM yenyewe and then kuanzia kujipanga bravely kulijibu kwa kuitumia AKILI KUBWAZZ..ijiepushe na overreacting itulie kwanza maana Wabongo ni fuata upepo so wengi wataenda hata bila sababu just because mbona wengi wanaenda CCM iliruhusu vipi Lowasa kufikia kuwa Serikali with Serikali? It is a Million Dollar Question watajibu at huu Uchaguzi! JAMANI ASUBUHI NJEMAZZ! - le Mutuz Nation
↧
↧
MARAFIKI WA LOWASSA WAPINGA SWAHIBA WAO KWENDA CHADEMA
Kambi ya Lowasa kwa sasa tumbo joto kutokana na mgawanyiko mkubwa uliojitokeza. Kambii hiyo imegawanyika na kuzaa timu mbili. Timu ya kwanza inaundwa na wastaafu akiwemo Apson Mwang'onda na viongozi wa CCM wa Mikoa na wilaya. Wengi wa wanaounda kundi hili ni wachovu kifedha na wanaishi kwa kutegemea Marafiki wa Lowasa.
Timu ya Pili inaundwa na Marafiki wa Lowassa ambao ndio wenye fedha. Taarifa za uhakika kutoka kambi hiyo zinasema kuwa Marafiki wa Lowasa wakiongozwa na Rostam Aziz pamoja na Mke wa Lowasa Regina Lowasa hawataki rafiki yao aende upinzani. Hoja wanazotoa ni pamoja na hizi zifuatazo;
↧
OLD SCKOOL AVEC LUCIANA DEMINGONGO LIVE VIDEO MUSIC & AWILO LONGOMBA LIVE!!
↧
HATIMAYE MBUNGE WA CHALINZE CCM NAYE AFUNGUKA LIVE ONA HAPA!!
↧
RAIS JK AFUNGUKA KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA ONA ALICHOSEMA KWENYE TWITTER YAKE LIVE!!
↧
↧
THE WINDHOEK BOSS MR. JEROME GOES RWANDAN MUSIC FESTIVAL PHENOMENE LIVE AT KIGALI!!
↧
LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH MY SUPER FRIENDS LAST NIGHT AT DOWNTON BONGO LIVE!!
↧
BREAKIN NEWZZ!!:- USHAHIDI KAMILI WA KWANZA KWAMBA SASA LOWASA NI CHADEMA HUU HAPA LIVE!!
↧
LE MUTUZ NATION LIVE AT THE BUSINESS BREAKFAST WITH DIRECTOR OF SALES FOR THE DOUBLE TREE HILTON HOTEL LIVE!!
↧
↧
PICHA YA KWANZA LOWASA NA MKEWE KUKABIDHIWA KADI MPYA ZA UANACHAMA WA CHADEMA ONA HAPA LIVE!!
LOWASA - "Kuanzia leo naondoka CCM, nitikia wito wa UKAWA kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.. niungane nao katika kuleta mabadiliko. Namshukuru sana James Mbatia.
Sikufanya uamuzi huu kwa pupa. Nimejiridhisha ndani ya UKAWA ndio kuna fursa pekee kushinda uchaguzi.. tutaondoa uhodhi wa chama kimoja.(akimnukuu Nyerere) ...CCM sio Baba wala Mama Yangu.. wanaCCM kama wanataka mabadiliko wayatafute nje ya CCM, na mimi CCM sio Baba wala Mama yangu"
↧
LE MUTUZ NATION LEO LIVE ZAWADI FROM BACARDI TANZANIA LIMITED LIVE!!
↧
MMMH HUDDAHA NAYE KWA MITUPIO TU MMH HATARI HEBU ONA NYONGA HIYO YA MTOTO WA KIKE HUYU TOKA KENYA DUH TAZAMA HUMU>>
↧