↧
JIONEE SUPER STAR ZARI ANAJILIA MIJIRAHA DIAMOND ANAVYOMPA MAISHA MTOTO KATULIA TULI
↧
CCM WAMJIBU LOWASSA MARA BAADA YA KUHAMIA CHADEMA

Kulikuwa na tangazo ambalo lilienea sana mitandaoni kuanzia July 28 2015 ikiwa na taarifa kwamba CCM watafanya Kikao chao Makao Makuu Madogo July 29 2015 Lumumba Dar.

Katibu Mwenezi wa CCM Dar, Juma Simba Gaddafi ndio Kiongozi pekee wa CCM aliyefika kwenye Mkutano huo ambao umefanyika Peacock Hotel Dar, na hii ni sehemu ya alichokisema.
‘CCM inatoa shukrani kwa ushirikiano mlioutoa katika Mkutano wetu Mkuu wa Kumtambulisha Mgombea Urais Dk. Magufuli pale Mbagala, CCM ni Chama chenye busara tumeona tuwashukuru‘>>>
Kwenye sentensi nyingine amesema hivi >>> ‘Tume ya Uchaguzi tunawaomba wawe makini kuongeza Mashine na Watendaji ili watu wapate nafasi kujiandikisha na watumie fursa yao Kupiga Kura… CCM tuna uhakika tutashinda‘>>>

Juma Simba Gaddafi, Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Dar.
‘Kingine tunawashukuru waliojitokeza Kugombea nafasi mbalimbali za Ubunge na wajitokeze kwa wingi pia kupiga kura… Tumemaliza Uchaguzi Dodoma na kumpata Mgombea wetu Dk. Magufuli, tunajivunia kwa sababu ana rekodi nzuri… Tuna imani CCM itaendelea kuongoza 2015 mpaka 2020, tumefanya mengi yanayokubalika‘>>>
Hiki ndio alichokijibu kuhusu ishu ya Lowassa kuhamia CHADEMA >>> ‘Yeye aliingia CCM kwa ridhaa yake hakuna mtu alimlazimisha, ametoka kwa ridhaa yake na CCM itabaki kuwa CCM… Wafuasi walikuwa ndani ya CCM, kuondoka kwake ameondoka yeye na sio wa kwanza kuondoka‘>>>

Haya ni majibu yake mengine kuhusu Lowassa kutoka CCM >>> ‘Mtu akitoka huwezi kujibu kwa nini ametoka, nawathibitishia mtu yoyote akitoka CCM itabaki imara… Tutashinda asubuhi kweupe… Kama Lowassa angekuwa anaondoka na watu wengi ungewaona jana, lakini alikwenda yeye akarudisha kadi… watu wengi wanatoka kwenye Chama na CCM bado iko imara‘ >>>> Juma Simba Gaddafi.
↧
↧
NDUGAI AMTWAGA MGOMBEA MWENZAKE,AZIMIA AKIMBIZWA HOSPITALI

Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM
Hayo yametokea leo mnamo saa saa 10 jioni katika kitongoji cha ugogoni mjini Kongwa.
Katika kile kinachoonekana ni kuishiwa sera na kutumia ubabe na ukorofi ili kutetea nafasi yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, Mheshimiwa Naibu Spika wa Bunge La Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa alipiga kwa gongo ambalo amekuwa akitembea nalo huku wasimamizi wa uchaguzi wakifumbua macho kitendo cha mgombea kutembea na silaha hiyo kwenye kampeni.
Inadaiwa na mtu aliyefuatilia kwa karibu tukio hilo mkutanoni kuwa Kuna mgombea mmojawapo (mkazi wa Kongwa aitwaye ngatunga) Alisimama kuuza sera zake na kudai kuwa Kongwa kuna madini jimbo halijafaidika na chochote kutoka kwa wachimbaji wa madini... Mara moja Ndugai alimtishia kuwa anyamaze la sivyo angemuonesha kazi kwa kile anachodai kuwa ni kuongea upuuzi..
Wakati wagombea hao wakiendelea kujibizana suala hilo ndipo ghafla mheshimiwa alipomuona Mmojawapo wa wagombea aitwaye Dr Joseph Chilongani ameshika simu na kutahamaki kuwa alikuwa akimrekodi kwa kuvunja taratibu.
Ndipo Job Ndugai alipoamka na kumwambia "Tena wewe nilikuwa nakutafuta siku nyingi sana, unanirekodi na makamera yako na leo utanitambua mimi ni nani."
Mara Ndugai akakusanya nguvu na kumpiga Dr Chilongani kwa fimbo hiyo. aidha hata baada ya kuanguka chini Ndugai alimfuata na kumrukia kumkanyaga tumboni akiwa na hasira na nia ovu ya kutaka kumdhuru zaidi..
Baadae wananchi walipata hasira na kutaka kumshughukilia kwa kichapo Mbunge huyo na ndipo alipopanda haraka gari lake haraka na kukimbi Eneo la Tukio..Inasadikiwa yule mgombea mwingine alijaribu kumnyanyua Dr. Pale chini, jambo ambalo baadhi ya wananchi walilichukulia ni kama kutaka kumdhuru zaidi hivyo walianza kumpa kichapo huyo mgombea mwengine kiasi hadi watu wengine walipoamulia.. Baada ya tukio hilo ovu mkutano ulivurugika.
Ndugu zake Dr. Chilongani kwa kusaidiana na watu walimbeba akiwa amezimia na kumkimbiz hospital baada y kupata PF 3 toka polisi.
Hadi reporter anaondoka hospitalini Dr alikuwa bado hajazinduka na madaktari walikuwa wanaendelea na harakati za kuokoa maisha ya mgombea huyo.
Shuhuda mmoja wa tukio anasema kuwa tukio hilo lilirekodiwa na pengine ushahidi huo utatumika katika kumuengua Ndugai katika kinyanganyiro cha ugombea ubunge kwa ticket ya CCM hasa baada ya watia wengine kuweka pingamizi mara mbili lakini bado uongozi wa chama ulikuwa unafumbia macho.
Baadhi ya wanachama wa CCM walidai kuwa kama haki itatendeka Ndugai atakuwa amejichimbia kaburi la kisiasa na kushuhudia KIAMA CHAKE RASMI KATIKA SIASA ZA JIMBO LA KONGWA..

CHANZO JAMII FORAM
↧
JOKETI APALIA MOTO BIFU KATI YAKE NA DIAMOND, SOMA HAPA ALICHOSEMA KUHUSU ALI KIBA
↧
HIZI NDIO POINT ALIZOZISEMA EDWARD LOWASA WAKATI AKIKABIDHIWA RASMI KADI YA CHADEMA
2.Watu wangu wamesema fanya maamuzi magumu.. Namshukuru Mke wangu na familia wamekuwa na mimi ktk kipindi kigumu-
3.Nawashukuru watu wengi waliojitokeza kuniunga mkono wakati natafuta wadhamini-
5.Kilichotokea Dodoma kinaitwa 'kubaka Demokrasia'
6.CCM iliwatumia vijana wachache kunikashifu na baadae wakapewa Madaraka makubwa
7.Kibaya zaidi kilikuwa kuwanyima Wagombea 38 wa CCM haki ya kujieleza mbele ya Kamati Kuu
8.Nilinyimwa haki ya Msingi ya kusikilizwa na kujieleza CCM, nitakuwa mnafki kusema nina imani na CCM
9.CCM niliyoiona Dodoma sio CCM iliyonilea Kisiasa, mimi km Mtanzania mwenye Uhuru nasema sasa basi
10.Mwalimu NYERERE alisema CCM sio baba yangu wala mama yangu,nimeamua kuanzia leo naondoka CCM na kujiunga CHADEMA
11.Namshukuru sana James MBATIA na Viongozi wa UKAWA kwa kuniamini na kunipokea
12.Naamini UKAWA tutaondoa mfumo wa Utawala wa Chama kimoja, naomba Watz wajiunge nasi ktk SAFARI YA MATUMAINI
13.Naomba Watz wajiandikishe ktk Daftari la Kupiga Kura,watunze Shahada za kupigia Kura ili tuiondoe CCM Madarakani
14.Mimi nauchukia UMASKINI, Kiongozi kujionesha maskini ni upuuzi. Natamani Watz wawe Matajiri km MENGI na AZAM
15.Kulipa kisasi ni upuuzi, umefanya nini mpaka useme nitalipa kisasi? Waulizeni wamefanya nini nilipe kisasi?
16.Kulipa kisasi ni upuuzi, umefanya nini mpaka useme nitalipa kisasi? Waulizeni wamefanya nini nilipe kisasi?
17.Msiwatishe, kama wamefanya madhambi yao waambieni nimewasamehe mimi sitalipa kisasi
18.LIPUMBA- 'UKAWA tumekubaliana maliasili na Rasilimali zitumike kwa manufaa ya Watz wote'
19.MBOWE- 'CCM imekuwa na Wabunge wengi ndani ya Bunge, imefanya waangalie maslahi yao zaidi kuliko Taifa
20.MBOWE- 'Tumekubaliana Wabunge wa UKAWA wakiingia Bungeni November 2015 waangalie zaidi maslahi wa Watz'
21.MBATIA- 'Tunawakikishia Watz kwamba nguvu kubwa ya Serikali ya UKAWA itaangalia maslahi ya Watz'
22.Nilisema mtu ambaye ana ushahidi wowote kuhusu mimi kuhusika na RICHMOND peleka Mahakamani, kama huna kaa kimya
23.Tulikuwa na tatizo la Umeme, tukahangaika kuleta Mitambo ya kuzalisha umeme.
24.Tulipata taarifa kuwa mtu ambaye tunampa kazi ya kuzalisha umeme hakuwa na uwezo
25.Niliondoka Madarakani lakini tatizo limeongezeka, mikono yangu ni misafi mwenye Ushahidi peleka Mahakamani
26.MAKAIDI- 'Nashukuru mmetuletea kifaa LOWASSA, nilimfahamu LOWASSA kupitia mtoto wangu
27.MAKAIDI- 'LOWASSA amekuja UKAWA afuate na Sisi tunavyotaka asahau kidogo mambo ya CCM'
28.MAKAIDI- 'Watanzania wamekwama, najua LOWASSA amekuja UKAWA kutukwamua.. Karibu sana LOWASSA'
29.Salum MWALIMU- 'Kuna taarifa kuwa sehemu kubwa ya Mikoa ya Mbeya, Singida na Arusha umeme umekatwa'
30.MBATIA-'Siku ya leo nina amani kutoka sakafu ya moyo wangu, ninawahakikishia Watz kuwa TZ bila CCM inawezekana'
31.MBATIA- 'UKAWA hatutamwaga damu lakini walio Madarakani wasituchokoze, uwezo wa kupambana kwa hoja tunao'
32.MBOWE- 'Tunapenda kumkaribisha LOWASSA pamoja na familia, marafiki zako na kundi la Watz wapenda haki'
33.MBOWE- 'Ujio wako CHADEMA umezua hofu nyingi kwa sababu hii ni nchi ya hofu'
34.MBOWE- 'Watu wengi wa CCM wamenipigia simu wakasema kumkaribisha LOWASSA ni kuharibu Chama'
35.MBOWE- 'Niliwajibu ni kweli ataharibu Chama, lakini nikajiuliza lini CCM ikawatakia mema CHADEMA?'
36.MBOWE- 'Kumleta LOWASSA kwenye meza hii haikuwa kitu chepesi, tumekaa Vikao viingi usiku na mchana'
37.MBOWE- 'Naongea kwa ujasiri,hatuwezi kufikiri mambo mema mapya kama tutaendelea kufikiri mambo mabaya ya zamani'
38.MBOWE- 'Chama cha Siasa ni watu, mimi niletewe watu Milioni niwakatae mimi ni mwendawazimu?'
39.MBOWE- 'Mimi na Viongozi wa UKAWA hatufikirii kulipiza kisasi'
40.MBOWE- 'Tumeshuhudia Vita ya makundi ndani ya CCM na wengine wakaadhibiwa. Wengi wanalalamika, wanaona ukweli lakini hawana uhuru kuongea'
41.MBOWE- 'Tumeshuhudia Vita ya makundi ndani ya CCM na wengine wakaadhibiwa. Wengi wanalalamika, wanaona ukweli lakini hawana uhuru kuongea'
42.MBOWE- 'Hatujamkaribisha LOWASSA pekeyake, tumemkaribisha na Mamilioni ya Watanzania
43.MBOWE- 'Chama cha Siasa ni watu, mimi niletewe watu Milioni niwakatae mimi ni mwendawazimu?'
44. MBOWE- 'Mimi na Viongozi wa UKAWA hatufikirii kulipiza kisasi'
45.MBOWE- 'Umesaidia kumfungua kifungoni Mbunge Ole MEDEYE na Wabunge wengi ambao tutaendelea kuwakaribisha'
46.MBOWE- 'CHADEMA haiongozwi kwa kauli za MBOWE, inaongozwa kwa Katiba na Kanuni za Chama
47. MBOWE- 'Namshukuru sana Rais JK, umesaidia kutujenga Upinzani kuelekea Uchaguzi wa mwaka huu'
48.MBOWE- 'LOWASSA ujitahidi sana Mazoezi kwa sababu huku kuna mabomu'
49.MBOWE- 'LOWASSA alipokuwa analalamika Dodoma sisi tulikuwa tunafurahi'
50. MBOWE- 'Umesaidia kumfungua kifungoni Mbunge Ole MEDEYE na Wabunge wengi ambao tutaendelea kuwakaribisha
↧
↧
MAKAVU LIVE! HONGERA WEMA, DIAMOND ACHA TABIA KISWAZI c

Binafsi mimi ni mzima wa afya, namshukuru Mungu, naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Jukumu nililonalo kupitia ukurasa huu ni kuwakumbuka kupitia barua hii.
KWENU mastaa wawili wenye ‘taito’ ya juu ndani ya Bongo, Wema Isaack Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’, mambo vipi? Mko poa?![]()
Nikianza na Madam, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyofikia kisiasa. Umepata kura 90 na umejitokeza kwa mara ya kwanza kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum. Hongera sana!
Umeonesha mwanzo mzuri. Kwamba unaweza kuwashawishi wajumbe, wakakuamini unaweza kuwatumikia, ni jambo jema. Umethubutu kujitokeza, kweli watu wakakuona na kukupigia kura.
Wapo wengi ambao tunawajua, walijitokeza kwa mara ya kwanza kama wewe, hawakuweza kufanikisha kura kama hizo ulizopata wewe. Naamini una kitu cha kipekee ambacho Mungu amekupa, usikate tamaa, songa mbele!
Naamini ukijipanga vyema, ukalelewa vizuri katika chama, inshallah uchaguzi ujao na wewe unaweza kuuthibitishia umma kwamba unaweza kuwa kiongozi. Tena uzuri ni kwamba una mtaji mkubwa wa watu nyuma yako, ambao ni mashabiki wako.
Nikirudi kwako Nasibu, mkali wao uliyechipukia kutoka Tandale jijini Dar. Sina haja ya kukupongeza sana kwa hatua ya kunyakua tuzo za MTV Africa Music (MAMA) sababu nilishafanya hivyo wiki iliyopita. Leo nimekukumbuka tena kutokana na tabia yako ya uswahili.
Naiita tabia ya uswahili kwa sababu ya mambo mengi ya wivu, chuki zisizokuwa na msingi zinazofanyika sana mitaa ya uswahilini. Majungu huko ndiko yanakopigwa na watu kupakana matope, kukomoana na vituko vya kila aina.
Kitendo cha wewe kutupia picha ya kejeli mtandaoni mara baada ya Wema kuonekana ameshindwa kuwania ubunge ni cha kiswahili sana. Si cha kiungwana hata kidogo. Hakikupaswa kufanya na mtu mwenye taito kubwa kama yako.
Eti unawashukuru wananchi wa Singida na kueleza eti mkutane Moshi kwenye shoo ya mamisi.
Hukuwa na maana yoyote ya kuandika maneno hayo. Unawashukuru siku ambayo Wema ameshindwa, ili iweje? Kama kuwashukuru kwa nini hukufanya hivyo kipindi kile baada ya shoo? Huo ni ushamba!
Nakumbuka pia hata uliposhinda tuzo za MTV, ulimkejeli Jokate Mwegelo kwa kuweka video yake na kusindikiza na maneno eti “mtanyooka tu.”
Jokate alilalamika. Kimsingi hukuwa pia na sababu ya kuweka video hiyo ya zamani na kumkejeli. Huo ndio uswahili wenyewe. Wewe hao wote walishakuwa wapenzi wako, mkaachana, acha maisha yaendelee.
Fanya muziki wako, wape nafasi pia wabaki kuwa mashabiki wa muziki wako hata kama penzi lilishakufa. Usiwafanye wajute kukutana na wewe. Usiwafanye wajute kufanya kazi na wewe.
Kwa leo inatosha, niwatakie kazi njema!
Ni mimi,
Erick Evarist
KWENU mastaa wawili wenye ‘taito’ ya juu ndani ya Bongo, Wema Isaack Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’, mambo vipi? Mko poa?

Nikianza na Madam, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyofikia kisiasa. Umepata kura 90 na umejitokeza kwa mara ya kwanza kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum. Hongera sana!
Umeonesha mwanzo mzuri. Kwamba unaweza kuwashawishi wajumbe, wakakuamini unaweza kuwatumikia, ni jambo jema. Umethubutu kujitokeza, kweli watu wakakuona na kukupigia kura.
Wapo wengi ambao tunawajua, walijitokeza kwa mara ya kwanza kama wewe, hawakuweza kufanikisha kura kama hizo ulizopata wewe. Naamini una kitu cha kipekee ambacho Mungu amekupa, usikate tamaa, songa mbele!

Nikirudi kwako Nasibu, mkali wao uliyechipukia kutoka Tandale jijini Dar. Sina haja ya kukupongeza sana kwa hatua ya kunyakua tuzo za MTV Africa Music (MAMA) sababu nilishafanya hivyo wiki iliyopita. Leo nimekukumbuka tena kutokana na tabia yako ya uswahili.
Naiita tabia ya uswahili kwa sababu ya mambo mengi ya wivu, chuki zisizokuwa na msingi zinazofanyika sana mitaa ya uswahilini. Majungu huko ndiko yanakopigwa na watu kupakana matope, kukomoana na vituko vya kila aina.
Kitendo cha wewe kutupia picha ya kejeli mtandaoni mara baada ya Wema kuonekana ameshindwa kuwania ubunge ni cha kiswahili sana. Si cha kiungwana hata kidogo. Hakikupaswa kufanya na mtu mwenye taito kubwa kama yako.
Eti unawashukuru wananchi wa Singida na kueleza eti mkutane Moshi kwenye shoo ya mamisi.

Nakumbuka pia hata uliposhinda tuzo za MTV, ulimkejeli Jokate Mwegelo kwa kuweka video yake na kusindikiza na maneno eti “mtanyooka tu.”
Jokate alilalamika. Kimsingi hukuwa pia na sababu ya kuweka video hiyo ya zamani na kumkejeli. Huo ndio uswahili wenyewe. Wewe hao wote walishakuwa wapenzi wako, mkaachana, acha maisha yaendelee.
Fanya muziki wako, wape nafasi pia wabaki kuwa mashabiki wa muziki wako hata kama penzi lilishakufa. Usiwafanye wajute kukutana na wewe. Usiwafanye wajute kufanya kazi na wewe.
Kwa leo inatosha, niwatakie kazi njema!
Ni mimi,
Erick Evarist
↧
HAWA NDO WANAMUZIKI MATAJIRI BARANI AFRIKA ...JE DIAMOND YUMO

Youssou N'dour
2.P.square-Nigeria

P.square
3.D'banj-Nigeria

D'banj
4.Koffi Olomide-DRC

Koffi Olomide
5.Salif Keita-Mali

Salif Keita
6.Fally Ipupa-DRC

Fally Ipupa
7.2face Idibia-Nigeria

2face Idibia
8.Hugh Maskela-South Africa

Hugh Maskela
9.Banky W.-Nigeria

Banky W
10.Jose Chameleon-Uganda

Jose Chameleon
↧
MSANII AHISIWA NI MWANAUME TATA( SHOGA ) BAADA YA KUPIGA HIZI PICHA
Flavour shared the photo on instagram today. Er no, that is not his baby mama, Sandra. Pretty lady.

All these kinda photos he likes to shares online...:-)
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who
produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international
reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting tri
↧
JANUARY KAMBA ATUPA KOMBORA CHADEMA BAADA YA LOWASSA KUHAMA CCM
↧
↧
HUYU NI MDOGO WAKE NA ZARI HEBU JIONEE ALIVYOJAALIWA DAH SIO MCHEZOO>>>PICHAZ>>
↧
BREAKING NEWS : CHADEMA WATOA UFAFANUZI KUHUSU DR SLAA, TUNDU LISSU NA MNYIKA
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa alitambulishwa rasmi kuhamia CHADEMA July 28 2015 Dar es Salaam akiwa ameongozana na mke wake,Regina Lowassa pamoja na watoto wao.
Kwenye list ya Viongozi wa UKAWA ambao walikuwepo kumpokea na kumkabidhi kadi ya CHADEMA, alikuwepo James Mbatia, Prof. Lipumba, Dk. Emmanuel Makaidi, Salum Mwalimu na Freeman Mbowe.
Salum Mwalimu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, amesema haya kuhusu mapokezi hayo >>> ‘Tunashukuru sana Watanzania, sidhani kama kuna kiongozi wa CHADEMA simu yake iliwahi kuzidiwa kama jana, simu zilizidiwa kwa pongezi… Kila mtu amezungumza kwa sababu ya Historia ya tendo lenyewe‘>>>>
![]()
‘Kesho Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa atachukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA… pengine kutakuwa na shamrashamra nyingi itategemeana na Mgombea mwenyewe, akiamua kuja na mdundiko haya… lakini tunaamini kutakuwa na shamrashamra nyingi‘ >>>> Salum Mwalimu.
![]()
Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar
Stori zikaanza kuzushwa kuhusu sababu ya Viongozi wengine wa UKAWA kutokuwepo, majibu kayatoa pia Salum Mwalimu>>> ‘Tuna mambo mengi tuna mikakati mingi, tumegawanyika… sio kila tukio wote tuwe pamoja, jana mliuliza Tundu Lissu yuko wapi na leo huyu hapa hata hamumuulizi… Tuko kwenye kipindi cha Uchaguzi tuna mambo mengi hatuwezi wote kuwa sehemu moja, tunagawanyika kutokana na ratiba tuliyonayo‘>>>>

VIDEO MRS BERNADETTE AKIIMBA WIMBO WA TANZANIA NAKUPENDA KWA KISWAHILI
↧
WEKA MBALI NA WATOTO ,JIONEE BALAA
↧
↧
HUYU MREMBO LEO KAZUA GUMZO MTAANI KWA NGUO ZAKE
↧
BREAKING NEWS : TEAM LOWASSA WATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA
↧
SHILOLE KIUNO, NUH MZIWANDA WAPATANISHWA KWA KAJALA

Imelda Mtema
BAADA ya kujinadi kwa mbwembwe nyingi mitandaoni kuwa wamemwagana, hatimaye wapendanao, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ wamepatanishwa na kufungua ukurasa mpya wa ‘malovee’, Risasi Mchanganyiko linakumegea.
Chanzo kilicho karibu na wawili hao kilipenyeza habari kuwa, Shilole na Nuh Mziwanda walilazimika kupatana baada ya kukutanishwa kwenye bethidei ya Kajala bila kujijua na kuombwa wapatane.
“Kwani hamjui kuwa walipatana siku ile ya bethidei ya Kajala? Kama hamuamini muulizeni Kajala atawapa ubuyu kamili lakini habari ndiyo hiyo, walikutana, wakakumbatiana na kuanza upya,” kilisema chanzo chetu.

Baada ya kunyaka ‘ubuyu’ huo, mwanahabari wetu kwa kutumia vyanzo mbalimbali alifanikiwa kuzipata picha za Shilole na Nuh wakiwa wamekumbatiana kwenye sherehe hiyo iliyofanyika nyumbani kwake, Afrikasana jijini Dar.
Mwanahabari wetu alimvutia waya Kajala ili aweze kuzungumzia tukio hilo ambapo alisema aliamua kuwapatanisha kwa sababu anapenda ‘kapo’ yao hivyo kitendo cha wawili hao kutokuwa pamoja kilikuwa kikimuumiza moyo.
Hata hivyo, baada ya kupatanishwa, wadau wa burudani Bongo ambao hawakupenda majina yao yaandikwe gazetini, waliwaonya wawili hao kutulia na iwe mwisho kugombana maana si mara ya kwanza kugombana.
Kabla ya kupatanishwa, wawili hao walikuwa wakitupiana madongo mitandaoni wakionesha kuwa hawana dalili za kurudiana lakini hatimaye wamekubaliana kuwa pamoja kwa mara nyingine.
↧
MCHUNGAJI MREMBO NA MWENYE MVUTO WAKUPAGAWISHA WANAUME HAFANYIWA HILI NA WANAJESHI HAWA
After Nairobi Senator Mike Sonko took to social media and disclosed that he enjoyed sermons from youthful female pastor, Lucy Natasha, she became an instant hit amongst Kenyans.
Many adored the youthful pastor for her immense beauty and good sense of fashion that consists of designer clothes and expensive jewellery. And it now seems that Kenyans will keep talking about this s3xy preacher whose beauty is
simply irresistible. She recently rocked a red dress during her birth-day and the out-come was just amazing.
simply irresistible. She recently rocked a red dress during her birth-day and the out-come was just amazing.
Check out the photos below.
↧
↧
TAARIFA MPYA KUHUSU YULE MGOMBEA WA UBUNGE CCM ALIYEPIGWA HADI KUZIRAI NA JOB NDUGAI, SOMA HAPA

Mnamo tarehe 28.7.2015 majira ya jioni JOSEPH ELIAZA CHILONGANI alifika katika kituo cha Polisi Kibaigwa akilalalmika kuwa wakati wakiwa kwenye kampeni za kujinadi kwa wanachama kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM alishambuliwa kwa fimbo sehemu za kichwani na tumboni na JOB YUSTOO NDUGAI (MB).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamiz wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema mtu huyo aliyejeruhiwa alipewa PF3 na kupelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kongwa kwa uchaguzi wa madaktari na matibabu. Amelazwa na anaendelea na matibabu hadi sasa, hali yake anaendelea vizuri.
Kamanda MISIME amesema uchunguzi wa malalamiko hayo unafanyiwa kazi kwa kupata maelezo ya watu walio kuwa kwenye mkutano huo wa kampeni na ukikamilishwa jalada litapelekwa kwa Wakili wa Serikali kwa hatua zaidi za kisheria.
↧
PROFESA MWANDOSYA AFICHUA MADUDU CCM, AMPONDA MAGUFULI
↧
DIAMOND AZUNGUMZIA LILE SAKATA LA KUWATELEKEZA WATOTO ALIOKUWA AKIWALIPIA ADA, SOMA HAPA

VUNJA ukimya! Mfalme wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusiana na sakata la watoto alioahidi kuwasomesha kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya ada.
Akistorisha na Risasi Mchanganyiko ndani ya Hoteli ya Ntansoma jijini Dar alipokuwa akiwashukuru Watanzania kwa kumwezesha kutwaa Tuzo ya MTV
Africa (Mama), Diamond alisema kilichotokea ni tamaa ya mtu aliyemkabidhi jukumu la kusimamia ada na mahitaji yote ya shuleni ya watoto hao.
Diamond alifunguka kuwa kutokana na kumwamini mtu huyo na yeye kuwa ‘bize’, alishindwa kupata muda wa kufuatilia kwa ukaribu sakata hilo hadi aliposhtushwa na habari iliyoripotiwa na gazeti hili.
“Nilisiktishwa sana, nilitoa fedha zote, nikampa mtu ambaye nilimuamini sana lakini kwa tamaa zake akaamua kuzitumia fedha hizo, unajua muda wangu ni mchache sana, hivyo sikufuatilia, lakini kwa sasa mambo yote yamekaa sawa,” alisema Diamond.
↧