↧
PICHA CHA EDWARD LOWASSA ZILIZOZUA GUMZO MTANDAONI LEO
↧
THE MAGAZETI YA BONGO LEO THURSDAY /ALHAMISI 30/07/2015 LIVE!!
↧
↧
DR SLAA AJITOKEZA HADHARANI KUMUONGELEA EDWARD LOWASA.
↧
MY SUPER FRIEND SUPER BILLIONEA DAVIS MOSHA ALIPOWASILI CCM MKOA WA KILIMANJARO
Davis Mosha akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa UWT Wilaya ya Moshi Mjini.
Mgombea nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi katika nafasi ya ubunge ndani ya jimbo la moshi mjini.Mtoto wa kiboriloni na Tumaini jipya la wakazi wa moshi mjini ndugu Davis Mosha alipowasili leo katika uchaguzi wa kuchagua madiwani wa Viti maalumu kupitia ccm ndani ya Moshi mjini.
Davis mosha akibadilishana mawazo na Mtia nia mwenzake wa nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi mjini Ndugu Amani
Ngowi wakiwa Pamoja na Kada wa ccm Ndugu Makwaiya
Ngowi wakiwa Pamoja na Kada wa ccm Ndugu Makwaiya
Devis alikua na watia nia wengine wa jimbo hilo. Kuwasili kwake kulipelekea usikuvu kupotea na kila mtu akitaka kusalimiana nae huku wazee na kina mama wakishindwa kujizuia na kumuomba asikate tamaa alikomboe jimbo.
Mmoja wa wanawake ambaye alishindwa zuia hisia zake na kujikuta akimuomba Ndugu Davis Mosha Alikomboe jimbo la Moshi akipata nafasi.
Hata hivyo Devis hakusita kuwapa moyo vijana waliojitokeza kuwania nafasi za udiwani wa viti maalum na alionekana akiwaombea kwa Mungu baadhi wenye hofu kabla ya Uchaguzi.
"Aika Mae" (Asante Mama) Ni kama vile Ndugu Davis Mosha akimjibu mama huyo
Ndugi Davis Mosha akimuombea mmoja wa wagombea wa nafasi ya viti maalum Jimbo la Moshi mjini.
Davis Mosha akisalimiana na mmoja wa watia nia wa nafasi ya Ubunge ndani ya jimbo la moshi mjini ndugu Khalifa Kiwango katika ukumbi wa ccm Mkoa - Moshi.
Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Ndugu Devis Mosha akiwa na Wagombea wenzake wanaoomba pamoja ridhaa ya kuwakilisha chama hicho katika nafasi ya ubunge.
Davis Mosha akiwa na Wagombea wenzake ambao wameomba nafasi pamoja wa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya ccm ndani ya jimbo la Moshi.
↧
BREAKING NEWZZZZ....BAADA YA LOWASA KUHAMA CCM...DR,NCHIMBI AANDIKA HUU UJUMBE KUHUSU MSIMAMO WAKE USIKU HUU
↧
↧
BREAKING NEWSSS: LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu
Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam
Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema
↧
PICHA YA KWANZA MAKAO MAKUU YA CHADEMA SASA HIVI WAKISUBIRI LOWASSA KUCHUKUA FOMU ZA URAIS
↧
MSIMU MPYA WA KANDANDA NDANI YA DSTV KUTIMUA VUMBI WIKI IJAYO

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa msimu mpya wa kandanda kwa wateja wa DStv jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo, akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na huduma za DStv. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi.

Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu, akielezea huduma za kuunganishwa kwa wateja wapya wa DStv, ambapo ving'amuzi pamoja na dishi vinapatikana kwa gharama nafuu kabisa ya Sh.99,000/- kwa mawakala wote wa DStv nchini.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi (wa pili kushoto) akikabidhi zawadi ya begi kwa mwandishi wa habari, Joseph Michael baada ya kuchezesha droo kwa waandishi waliohudhuria mkutano huo. Wanaoshuhudia kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.

Furaha Samalu na Barbara Kambogi wakikabidhi zawadi ya begi Super Sport kwa mpiga picha wa ITV, Abdallah Kaniki aliyeibuka mshindi katika droo iliyochezeshwa na Multichoice Tanzania wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Kulia Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi akikabidhi zawadi ya T-shirts kwa mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Imani Makongoro.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Msimu mpya wa Soka 2015/16, unatarajia kuanza rasmi Jumapili ijayo kwa kushuhudia ligi mbalimbali Duniani zikichezwa na kurushwa moja kwa moja kupitia SuperSport ambayo imejipanga kukuletea burudani kabambe kwa mashabiki wa soka barani Afrika.
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania , Ronald Baraka Shelukindo mapema jana akizungumza na vyombo vya habari amebainisha kuwa, Wateja wa DStv wakae tayari msimu huu kwenye Ulimwengu wa Mabingwa ambapo timu mbalimbali zimejiimalisha katika kuakikisha zinatwaa ubingwa.
“Ligi ya mwaka zitakuwa za kasi na kuvutia kwa kila timu. Barcelona wanajiandaa kutawala dunia kwa mara nyingine, huku Manchester United wanahitaji kurudisha kiti chao cha Ubingwa Uingereza. Jose Mourinho analenga kuhakikisha Chelsea inabaki juu, wakati huo huo , Hispania inajiandaa kuhakikisha wanashinda kwa mara ya tatu kombe la Euro 2016.” Ameeleza Baraka Shelukindo.
Ameogeza kuwa, Watazamaji wa SuperSport watakuwa na nafasi ya kipekee kushuhudia mechi kwenye ubora wa HD, ikiwa ni pamoja na michuano ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) , Ligi ya Hispania (La Liga) , Ligi ya Mabingwa wa Ulaya(UEFA) na Ligi ndogo ya Ulaya ( Europa) ,mechi za FIFA za kirafiki za kimataifa na Klabu Bingwa ya Dunia , Kombe la Ujerumani , Kombe la Mfalme Hispania (Copa Del Rey) , Kombe la FA na zaidi.
Kwa upande wake, Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi anaeleza kuwa, Katika msimu huu , Ulimwengu wa Mabingwa itakuwa ikionyesha mechi zaidi ya 900 za kimataifa. Wateja wa DStv Compact Plus wataweza kufurahia baadhi ya mechi zaidi ya 450 ‘live’, huku Wateja wa DStv Premium watazawadiwa mechi zote ‘Live’ zitakazorushwa katika chaneli zote za SuperSport .
“Kuanzia msimu huu na kuendelea, vituko vyote vya Ligi Kuu ya Uingereza vitakuwa vikiletwa kwenu kupitia SuperSport 5 ( SS5 ) inayopatikana kwenye kifurushi cha Premium. SS5 sasa itakuwa ni nyumba ya soka la Afrika kwa ligi kuu ya Uingereza huku ikijumuisha mechi 3 ‘Live’ kila Jumamosi na Jumapili. Kuambatana na mechi kutakuwa na vipindi maalum vya soka kama PLTV Kick Off, Match Day Live, Fan Zone, Saturday/Sunday Review, Football Today, Classic Matches, Netbusters na Mech za Wiki” Amebainisha Barbara Kambogi.
Moto wa La Liga utawashwa ndani ya SuperSport 3 ( SS3 ). Chaneli hii itakuwa inakuletea mechi hadi tatu za ligi ya Hispania ‘ Live’ kwa siku ya Jumamosi na Jumapili . Wateja wa DStv Premium na Compact Plus watapata nafasi ya kuangalia mechi za michuano ya Kombe la mashindano Uingereza ndani ya SS3 sambamba na mechi za Jumamosi mchana za Ligi kuu ya Uingereza , mbadala wa mechi inayorushwa ndani ya SS5, pamoja na Ratiba zote za Jumatatu usiku na vipindi vya mahojiano vya studio.
Pamoja na Mechi za ‘Live’ ndani ya SS3 , itakuwa inakuonyesha vipindi muhimu vya shoo za magazeti , yanayojiri ndani ya La Liga, pamoja na vipindi maalum vya ligi za soka . Makombe yote ya mpira wa miguu, Mabingwa wa Ulaya na Ligi ya Europa, Kombe la FA , Kombe la Mfalme Hispania (Copa Del Rey), Kombe la Ujerumani , Euro 2016 na mechi za kirafiki za kimataifa zitaendelea kutapatikana kwenye SS3 .
Kwa habari zaidi za michezo na ratiba za mechi kwenye SS5 na SS3, tafadhali tembelea www.supersport.com
↧
BREAKING NEWS : DR SLAA AANDIKA UJUMBE MZITO KUHUSU KUHAMA CHAMAN HICHO
↧
↧
BREAKING NEWS!! HATIMAYE RUNGU LA BASATA LAMDONDOKEA SHILOLE KUTOKANA NA KUKAA UCHI MAJUKWAANI

hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo jukwaani, BASATA ilikupa nafasi ya kutoa maelezo kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kitendo chako lakini umekaidi kutoa maelezo yako‘ – BASATA
↧
BREAKING NEWZZZ.. LOWASA AANDIKA UJUMBE KWA WATANZANIA BAADA YA KUCHUKUA FOMU YA URAIS
↧
BREAKING NEWZZZ........ESTER BULAYA APIGWA CHINI KURA UBUNGE NA CHADEMA KUPITIA KURA ZA MAONI...
↧
KUKATWA KWA WEMA SEPETU NI KICHEKO KWA STAA MWENZAKE HUYU BONGO MUVI!

Akionekana mwenye furaha huku akiserebuka muziki alisema kuwa mbunge wenu amekosa ubunge, jambo lililowafanya baadhi ya wasanii wenzake waangue kicheko kwa kuwa inafahamika kuwa ana bifu naye.
Staa wa filamu Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ akipozi.

“Jamani mmesikia majibu? Mbunge wenu kashika nafasi ya mwisho, ngoja mimi niendelee kucheza sebene langu,” alisikika Baba Haji huku akiangua kicheko.
Bifu la Baba Haji na Wema lilianza kitambo ambapo wawili hao walikutana kwenye Ukumbi wa Bilicanas, Posta jijini Dar ambapo Wema alimchana jamaa huyo kuwa ananuka jasho.
↧
↧
KWANINI BAADHI YA WANAWAKE WANAJICHUBUA WAWE KAMA WAZUNGU?>
↧
LOWASSA AWA GUMZO KILA MAHALI,AIACHA CCM NJIA PANDA
.
Ni

July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA…. Tayari kafika Makao Makuu ya Ofisi za CHADEMA, Kinondoni Dar es Salaam na kuchukua Fomu ya Kugombea Urais kupitia Chama hicho.
Hizi ni pichaz pamoja na maneno waliyoongea Mbunge Freeman Mbowe, Tundu Lissupamoja na Edward Lowassa mwenyewe!!
↧
WEMA SEPETU AAMUA KUWEKA HADHARANI MCHUMBA WAKE HII NI BAADA YA KUKOSA UBUNGE... NAE AMCHUKUA STAR KUTOKA NJE YA TZ
↧
GARI LA KIFAHARI LA KUBEBEA MAJENEZA LAINGIA NCHINI...LITAZAME HAPA
Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.
Kwa wanaohitaji kukodi kwa shughuli za misiba wanaweza kuwasiliana kupitia barua pepekiwiaadavidson@hotmail.com au simu namba +255 715 213213, +255 713 616606 na +255 784616606


Muonekano wa ndani sehemu maalum linapowekwa jeneza.
↧
↧
KIDOTI :VIJANA WA JIJI LA ARUSHA CHANGAMKIENI FURSA ZA KIJASIRIAMALI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo (kidoti) akiwa na mabalozi wake aliwapata ndani ya mkoa wa Arusha tayari kwa kwenda mtaani kutangaza bidhaa zake zake za kidoti zilizoingia jijini Arusha kwa mara ya kwanza
warembo wa Kidoti wakiwa wako katika pozi wameshikilia baadhi ya bidhaa za Kidoti
mmoja wa mabalozi wa kidoti aliyejulikana kwa jina la Anolia Agustino akiwa anaongea na waandishi wa habari
Meneja masoko wa kampuni ya kidoti Peter Kasija akiwa anaongea na waandishi wa habari ndani ya viwanja vya triple A hii leo wakati walivyokuja jijini Arusha kutangaza bidhaa za kampuni yao
mabalozi wa kidoti wakiwa kazini
baadhi ya bidhaa zinazosambazwa nakidoti jijini Arusha
hizi ndizo ndala za kidoti
mawigi ya kidoti ndio haya
Na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini blog
Wito umetolewa kwa vijana ndani ya jiji la Arusha kujitokeza katika
kuchangamkia fursa za kijasiriamali zinazojitokeza ili kuweza
kuwaepushia vijana na matendo maovu yanayoweza kuwafanya ndani ya
jamii kukosaa thamani.
Wito huo umetolewa na Joketi Mwigelwa (kidoti) wakati akichagua vijana
wajasiriamali ndani ya jiji la Arusha katika ukumbi wa triple A jijini
hapa ambapo anatarajia kuwapata wajasiriamali vijana ambao
hatawaingiza katika fursa ya wajasiriamali kwa kupitia kampuni yake ya
kidoti.
Alisema kuwa amevutiwa kuja kuwekeza ndani ya jiji la Arusha katika
nyanza za ujasiriamali kwa kuwa anaelewa kuwa vijana wa jiji la Arusha
hususa ni wasichana wana muitikio mkubwa katika swala zima la
ujasiriamali na maendeleo binafsi.
Aidha alibainisha kuwa katika mchakato huo wanatarajia kupata
wajasiriamali wapatao 13 ambapo tofauti na kujiingizia kipato cha
ujasiriamali pia watakuwa mabalozi wa kutangaza bidhaa zilizo chini ya
kampuni ya kidoti.
“ndugu mwandishi unavyowaona hawa wote hapa ni vijana kutoka mkoa
mzima wa arusha na mikoa ya jirani tunawafanyia usaili na kupata
vijana ambao wanakithi vigezo vya kuingia katika ujasiriamali ,utakao
wapelekea wao kufanya kazi na kampuni ya kidoti pamoja na kujiajiri
binafsi” alisema kidoti
Pamoja na hayo alisema kuwa kampuni hiyo kwa mwaka huu imeamua
makusudi kusogeza huduma za ikiwemo bidhaa zake katika mikoa ya nje
ya jiji la Dar Es Salaam ili kuwapa furusa watu wa mikoani ambao
walikuwa hawazipati huduma za kidoti.
Kwa upande wa mmoja wa washiriki waliojitokeza katika mchujo huo
Anolia Agustino alimpomgeza kidoti kwa hatuqa aliofikia ya kuwaajiri
vijana haswa wasiochana kwani ,jambo hili litawasaidia wanasichana
wengi kupata ajira pamoja na kujiajiri binafsi.
Aidha alisema kuwa mbali na kupata ajira pia kampuni hii itawasidia
kujifunza ujasiriamali pamoja na kujiajiri binafsi kwani ,bidhaa za
kidoti ni za bei na fuuu na unaweza kuanza kujiajiri kwa kutumia mtaji
mdogo.
Kwa upande wa mshiriki mungine ambaye teari alikuwa amenufaika na
kampuni ya kidoti aliyejitaja kwa jina la Anjela Mushi alisema kuwa
kampuni hii imemsaidia sana kwani alikuwa anakaa nyumbani bila kazi
lakini alivyoona kwenye mtandao wa kijamii aliamua kujitafuta
mawasiliano na kuanza na mtaji mdogo na kwasasa ivi mtaji wake
umekuwa.
“mimi nilianza kuona bidhaa za kidoti katika mitandao ya kijamii kama
intagramu nikaamua kutafuta mawasilano kwakeli nilipata na nilikuwa
na mtaji mdogo kwani nilianza na mtaji wa shilingi laki moja na sasa
na shilingi laki nne na biashara yangu nilianza mwezi wa tano na sasa
ni mwezi wa saba kwa hadi sasa nina mienzi mitatu nashukuru mungu
mtaji wangu umekuwa”alisema Anjela.
Alimalizia kw akumpongeza kidoti na kumsihi aendelee kuwasaidia
wasichana kwani hivi sasa kumekuwa na changamoto ya ajira kwani ajira
imekuwa ni ngumu.
↧
MLAMU AZUNGUMZIA SERIKALI BILA KUINGIZA FEDHA NI KUJIDANGANYA!

↧
VIKWAZO VIPYA SAFARI YA MATUMAINI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa fomu za kugombea urais kupitia chama hicho jana kwenye ofisi za makao makuu ya Chadema jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Regina ambaye ni mke wa Lowassa, na kulia ni Naibu Katibu MKuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu. Picha na Edwin Mjwahuzi
Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi..
BOFYA KUONA VIKWAZO VYOTE
BOFYA KUONA VIKWAZO VYOTE
↧