Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

LISSU WANAOTAKA KUONDOKA CHADEMA RUKSA

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu
MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.

WEMA:SIASA BILA KUJIPANGA HUTOKI,UTAKATWA TUU!!

$
0
0
Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu.
Leo tunaye msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni alithubutu kugombea ubunge kupitia viti maalum mkoani Singida.
Kwa bahati mbaya kura za msanii huyu hazikutosha. Mwandishi wetu alionana na mwanadada huyo nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar na kumpiga maswali 10 mujarabu. Ungana nami…
Ijumaa: Hongera kwa kujitosa kwenye siasa, nini kilikusukuma kuingia huko?
Wema: Nilikuwa nashauku ya kuwa mheshimiwa, hata baba yangu aliwahi kuniambia naweza hivyo nikajaribu bahati yangu.  

BOFYA WEMA SEPETU AFUNGUKA KILA KITU

MZAZI MWENZIYE SUGU ATINGA TENA MAHAKAMANI, SOMA HAPA

$
0
0
Mzazi mwenzie na Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’, Faiza Ally akiwa katika viunga vya Mahakama ya Mwanzo ya Sinza jijini Dar. 
FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki yake juu ya malezi ya mtoto wake.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO FRIDAY /IJUMAA 31/7/2015 LIVE!!

$
0
0
.
,
,
.
.
.
.
.
.
.
 .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC09858
.

.
.
V

GLOBAL EDUCATION LINK INAKUKARIBISHA KATIKA MAONYESHO YA VYUO VIKUU - ARUSHA

BREAKING NEWS : BAADA YA BASATA KUMFUNGIA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO LEO

$
0
0
Shishi
Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa  ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na madai ya kuidhalilisha sanaa na Tanzania pale
alipopanda jukwaani nchini Ubelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.Usiku wa July 30 2015 ilimtafuta Shilole na kuongea nae kwa dakika 9 za machungu yake na video yenyewe ndio   

KAULI YA MWANDOSYA BAADA YA LOWASSA KUTIMKIA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA URAIS, SOMA HAPA

NORA AWANANGA WANAODAI AMESHAZEEKA..ADAI YEYE AJAGALAGAZWA OVYO KAMA HAO WENGINE

$
0
0

Nora Bongo Movies
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu, nimeshafanya maisha yote hakuna cha ajabu kwangu nyi kinachowatoa roho sasahivi, tena nikiwa na mume wangu wa ndoa sio wakushobokea kwasababu nipate kitu na yeye anivuruge tu.


Sioni kipya na bado nawaumiza kichwa mkinitafari ni jinsi gani mnanipenda na mnanikubali moyoni. Asanteni kwa hilo mnazidi kunipa nguvu Mungu awabariki sana sijajua kabisa kama bado ninanguvu kiasi hichi, mbarikiwe sana tim matusi ila muombe sana muwe mnalipa mpaka age yangu mana sura zimeshawashuka watoto wadogo mwili ndo usiseme nikisimama na nyinyi mnaonekana vizee vya miaka 70 na mnavyotumika sipati picha sehem nyingine hata tukisimamishwa uc** bado i will look young puuuu natamani kuwatema mate niki imagin mlooooh mnataka nini mbona mambo ni yale yale
Embu tulieni watoto wakike mjiheshim yani na Mungu anavyojua kuwadhalilisha mnalopokaje mitusi yenu wenyewe nadhani mnajiangalia mlivyo used halafu mnawambia wenzenu mana mngekua hamko hivyo mmgekua na haya kutamka vitu vya ajabu kama ujawai onamm na myinyi tofauti sanaaaana kama bado mlikua hamjaja mjini wakati na miaka 26'mi sikua kama nyinyi nivute nikuvute na wala umaarufu sijauvalia bukta ndo mana haunisumbui wala haunipeleki puta naishi maisha yangu an am happy siofii chochote zaidi ya akhera yangu nipo tofauti nyinyi mnaona kama dunia imeshushwa jana kila kitu kwenu kipya

Muwe na hekima kama adabu imewashinda mbarikiwe katika kheri na maovu Mungu awaondolee watoto wazuri najua sio kosa lenu poleeeeni eeeh ndo mliambiwa umaarufu huo ooooo poyeeeee vitotooooo chilieeee come to dadaaaaa. 

MEYA JERRY SILAA AKATISHA KAMPENI ZAKE ZA UBUNGE..KISA NI HILI TUKIO KUBWA LA KIHISTORIA

$
0
0
Leo meya wa manispaa ya ilala Mhe.Jerry Silaa ameonyesha kufurahi hadi kushindwa kujizuia ambapo amelazimika kukatiza ziara zake zinazoendelea za kukagua uhai wa chama ndani ya jimbo la ukonga ambapo pia ni mmoja wa makada wa chama ch mapinduzi CCM wanaoomba kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho katika jimbo la ukonga katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 25/10/2015.....
Hii ndiyo kauli ya Meya Silaa baada ya kuonekana amekatisha ziara yake ghala jambo lilizua taharuki kubwa,lakini baada ya kutafutwa na vyombo vya Habari na wananchi waliokuwa wanmsubiri katika vikao iligundulika kuwa baada ya meya Silaa kuona wageni waliofanikisha ujenzi huo ambao yeye ndiye aliyeuanza tangu mwanzo ikiwa ni pamoja na kuomba wafadhili hao toka Korea kupitia shirika la misaada la Korea KOICA ilibidi aache kila kitu na kuwafuata haraka......

Nimekatisha Ziara ya Kampeni kuhudhuria tukio la kihistoria la Kukabidhiwa MNCH Capacity Building Manual ya Hospital ya Mama na Mtoto ya Chanika... Zao la Jitihada zangu za kumuunga mkono Mhe.Dk.Jakaya Kikwete kupunguza vifo vya uzazi na Kutimiza Malengo ya Millenia.
Leo nimeamini,"Dreams can come true"
Waiteni wamama na wababa wanaojali wamama...
Gonga "LIKE" kwa mama na mtoto....

Je wewe kiongozi uliyekuwa na nafasi kipindi kilichopita,umewafanyia nini wananchi wako kama anavyofanya Meya Silaa??

MKURUGENZI MTENDAJI WA 8020 FASHIONS SHAMIM MWASHA ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA MANUFAA KWENYE SEMINA YATAASISI YA MANJANO

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekhar Nasser
Washiriki wakimsikiliza Kwa Makini Mentor Shamim Mwasha aliyetoa Mada kwenye semina hiyo Namna ya Kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Manufaa ya Maisha yetu ya Kila siku na Kucha Kupoteza Muda Kwenye Mitandao ya Kijamii Bila Manufaa yoyote. 
 Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha yake. Taasisi hii  limekwishazindua mradi wenye kubeba bendera yake, Manjano Dream-Makers, mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano tu
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd  Mama Shekhar Nasser Akimsikiliza kwa Makini Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na   Shamim Mwasha  Akilezea Namna anavyoitumia Mitandao ya Kijamii kwa Manufakatika Maisha yake ya Kila siku.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd  Mama Shekhar Nasser AkitoaMafunzo  kwa njia Vitendo kwa Washiriki wa Semina hiyo yenye lengo la Kumsaidia Mwanamke wa Kitanzania Kudhubutu Kujikita Kwenye Biasha ra hususani Kwa Kutumia Vipodozi Pekee  vinavyozalishwa na Shear Illusion vya Luv Touch Manjano.
 Washiriki wakiwa kwenye Picha ya Pamoja Mra Baada ya Kumaliza Mafunzo kwa njia ya Vitendo.
Washiri Wakiwa Pamoja Mra baada ya Kumaliza Mafunzo kwa Njia ya Vitendo. 
Lengo la Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita Vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania



 

LE MUTUZ NATION LIVE AT DOWNTOWN MOSHI MTAA KWW MTAA SUPPORTING MY SUPER FRIEND SUPER BILIONEA DAVIS MOSHA FOR CCM's PRIMARY KESHO LIVE!

$
0
0
 Le Mutuz Nation kwenye kampeni za kura ya maoni kesho Moshi mjini live at Duka la.Tamash Jewel downtown Moshi.

 Le Mutuz Nation live at Stendi ya Basi moshi na kampeni for my super friend Super Bilionea Davis Mosha 
  

KUMBE LILE NENO LA "BYE BYE" KWA DR.SLAA LILIKUWA NA MAANA YAKE, JIONEE MWENYEWE KWANINI ALIAMBIWA BYE BYE

$
0
0
Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa, (pichani) ambaye amekuwa ni kama alama ya chama

hicho, anaweza kuwa ndiyo mwisho wake kufuatia ujio wa Edward Lowassa aliyejiunga Jumanne iliyopita na jana kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema jijini Dar es Salaam. 

BOFYA KUSOMA KAULI ZOTE ZA DR SLAA

DR.SLAA AFUNGUKA RASMI KUHUSU KASHFA JUU YAKE YA KUHAMA CHADEMA NA KWENDA CHAMA KINGINE....MAJIBU HAYA HAPA

$
0
0

HABARI ZA HIVI PUNDE: "HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna

chochote kilichoharibika ndani ya CHADEMA, NCCR, NLD, CUF wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa UKAWA. 

BOFYA KUSOMA YOTE

LE MAJANGAZ DUNIA IMEISHA

$
0
0
aibu gani hii


alichokiandika huyu m Nigeria

BREAKING NEWSSS: LOWASSA AFUNGUKA KUHUSU UCHU WA MADARAKA!!,SOMA HAPA

$
0
0
WAZIRI mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
WAZIRI mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefungukia kile kinachoitwa “uchu wa madaraka” kwa kusema wanaomchafua kwa kumtangaza kuhama chama kwa kigezo hicho, wanajidanganya kwani amedhamiria kutafuta mabadiliko ya kweli nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya wanachama wa chama chake kipya (Chadema) na waandishi wa habari Alhamisi ya wiki hii wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho ndani ya umoja wa vyama vya upinzani (Ukawa), Lowassa alisema kuna  

BOFYA KUONA LOWASSA ALIVYOFUNGUKA LIVE

USIOMBE UPATE MWANAMKE SAMPULI HII UTAJUTA, TAZAMA ALICHOKIPATA JAMAA HUYU...

$
0
0
Never mess with the wrong women… Here is one man, who regrets arguing or fighting with women or even regrets the day he met any
woman in his lifetime… It is alleged that this photo was taken at Nairobi Hospital…
We wish this man quick recovery… WARNING! Graphic Image

BREAKING NEWS : LOWASSA ANAOMBA SAPOTI YAKO WE MTANZANIA

MARUFUKU KUKUATA TAMAA KOMAA UTAFANIKIWA>>>HEBU JIONEE ALIPOTOKA MCHEZAJI HUYU WA BRAZILI>>RONALDNHO>>

THE MAGAZETI YA BONGO LEO SATUDAY /JUMAMOSI 01 /08/2015 LIVE!!

TAFAKARI YA KIPANYA LEO.

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>