↧
WAZIRI MKUU MSTAAFU AJIUNGA MCHEZO WA NGUMI?.
↧
DR SLAA KUTIKISA NCHI WIKI IJAYO.
Slaa ni turufu kubwa kwa kambi ya upinzani, kama upinzani utakubali kuingia kwenye ulingo wa siasa kwenye uchaguzi mkuu bila slaa, itawatikisa sana ukawa, credibility ya Slaa kwenye siasa za Tanzania si ya kubeza, ukiwatathmini ccm walimchagua magufuli kwa kizingatia credibility ya magufuli na si populality yake, kwa kambi ya upinzani slaa ana credibility na populality Kubwa,namtazama slaa kama mtu muhimu sana kwenye siasa za Tanzania, kama navyomtazama magufuli kama turufu chanya kwa rebranding ya credibility ya ccm! Nawaza tu, where is slaa? Atasema nini akitokea hadharani? Je atakuja na mshindo mpya wa habari? Tusubiri tuone
↧
↧
EDWARD LOWASA ATOA UJUMBE WENYE KUMUUZUNISHA.
Tukatae uongo. Si kweli kwamba mtu mmoja anaweza kuhonga mamilioni ya Watanzania wamuunge mkono. Wanaosema hivi wanadharau sana Watanzania.
↧
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI APOTELEWA NA RAFIKI YAKE.
↧
MUME WA ZARI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU ZARI THE BOSS LADY
Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote kutoka sasa, aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kubambikiwa mimba na mtangazaji wa runinga aitwaye Doreen Kumhangi, Ijumaa limeidaka.
TUJIUNGE JIJINI KAMPALA
Habari kutoka jijini Kampala, Mji Mkuu wa Uganda zilidai kwamba, Ivan na Doreen ambaye ni
Mtangazaji wa Kipindi cha Morning Breeze cha Televisheni ya NBS ya Uganda, wamekuwa wakionekana wakiwa wamegandana kama ruba kwa miezi kadhaa sasa tangu mwaka jana.
“Muda wote Ivan akiwa Kampala anajirusha na Doreen. Mara kadhaa wameonekana viwanja tofauti wakila bata. Hata Doreen anapokwenda South Africa (Sauz) amekuwa akipokelewa na Ivan ambaye ana makazi mengine huko kisha kufanya yao,” kilidai chanzo ambacho ni mfuatiliaji wa masuala ya burudani nchini Uganda.
DOREEN ATOA SIRI NZITO
Ilidaiwa kwamba, baada ya bata zote hizo, hivi karibuni, Doreen alitoa siri nzito kuwa ana ujauzito uliosababishwa na Ivan, jambo lililomfanya jamaa huyo ‘kupaniki’.
Ilisemekana kwamba, kufuatia Ivan kukanusha kwa nguvu zote, kuna madai kwamba Doreen anambambikia mimba hiyo akiamini kwamba watu watakubaliana naye kwa kuwa ndiye amekuwa naye katika kipindi alichonasa mimba.
ALITAKA KULIPA KISASI KWA ZARI?
Katika mapenzi yao, ilielezwa kuwa, kuna kipindi Ivan alitaka kumhalalisha Doreen kuwa mkewe na haikujulikana ishu hiyo iliishia wapi huku nyuma kukiwa na madai kwamba alitaka kumrusha roho au kumlipiza Zari.
“Sijawahi kutembea na Doreen kwa hiyo mimi sihusiki na ujauzito alionao,” alisema Ivan juzikati alipobanwa na gazeti moja nchini humo.
“Anachokisema (Doreen) si kweli, anataka kunibambikia mimba,” alisema jamaa huyo aliyezaa na Zari watoto watatu wa kiume huku akiendelea kukanusha ishu hiyo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook, Twitter na Instagram.
DOREEN NI NANI?
Habari zilieleza kwamba, Doreen ni mtangazaji anayesoma habari kwenye kipindi hicho cha asubuhi cha NBSTV.
Kabla ya kudaiwa kuwa na Ivan, Doreen alikuwa shosti wa karibu na Zari na kwamba walishafanya kazi pamoja ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakisema ndiye mbadala sahihi wa Zari kwa jamaa huyo.
FAMILIA YA DIAMOND CHEREKO
Wakati hayo yakiendelea kwa Ivan, jijini Dar chereko zinasubiriwa za kumpokea mgeni kwenye familia ya Diamond ikielezwa kwamba Zari atajifungua muda wowote kutoka sasa.

Habari kutoka jijini Kampala, Mji Mkuu wa Uganda zilidai kwamba, Ivan na Doreen ambaye ni
Mtangazaji wa Kipindi cha Morning Breeze cha Televisheni ya NBS ya Uganda, wamekuwa wakionekana wakiwa wamegandana kama ruba kwa miezi kadhaa sasa tangu mwaka jana.

Ilidaiwa kwamba, baada ya bata zote hizo, hivi karibuni, Doreen alitoa siri nzito kuwa ana ujauzito uliosababishwa na Ivan, jambo lililomfanya jamaa huyo ‘kupaniki’.
Ilisemekana kwamba, kufuatia Ivan kukanusha kwa nguvu zote, kuna madai kwamba Doreen anambambikia mimba hiyo akiamini kwamba watu watakubaliana naye kwa kuwa ndiye amekuwa naye katika kipindi alichonasa mimba.

Katika mapenzi yao, ilielezwa kuwa, kuna kipindi Ivan alitaka kumhalalisha Doreen kuwa mkewe na haikujulikana ishu hiyo iliishia wapi huku nyuma kukiwa na madai kwamba alitaka kumrusha roho au kumlipiza Zari.
“Sijawahi kutembea na Doreen kwa hiyo mimi sihusiki na ujauzito alionao,” alisema Ivan juzikati alipobanwa na gazeti moja nchini humo.
“Anachokisema (Doreen) si kweli, anataka kunibambikia mimba,” alisema jamaa huyo aliyezaa na Zari watoto watatu wa kiume huku akiendelea kukanusha ishu hiyo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook, Twitter na Instagram.
DOREEN NI NANI?
Habari zilieleza kwamba, Doreen ni mtangazaji anayesoma habari kwenye kipindi hicho cha asubuhi cha NBSTV.
Kabla ya kudaiwa kuwa na Ivan, Doreen alikuwa shosti wa karibu na Zari na kwamba walishafanya kazi pamoja ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakisema ndiye mbadala sahihi wa Zari kwa jamaa huyo.
FAMILIA YA DIAMOND CHEREKO
Wakati hayo yakiendelea kwa Ivan, jijini Dar chereko zinasubiriwa za kumpokea mgeni kwenye familia ya Diamond ikielezwa kwamba Zari atajifungua muda wowote kutoka sasa.
↧
↧
UJUMBE TOKA KWA DR SLAA HIVI PUNDE.
Dr Willibrord Slaa @willibrordslaa
Sijatoweka, sijajificha, sina sababu ya kufanya hayo katika nchi huru. Niko salama na buheri wa afya. Niko katika tafakari, nitazungumza.
Bado sijazungumza lolote kuhusu ujio wa Lowassa Chadema. Yote yanayosambazwa kwamba ni kauli yangu ni uongo mtupu. Nitazungumza.
↧
JIONEE PICHA ZA WEMA ZILIZOZUA GUMZO MITANDAO YA BONGO
↧
MAMA MMOJA ACHARANGWA MAPANGA BILA HURUMA KAMA MNYAM
↧
JIONEE K-LYIN ALICHOKIANDIKA KWENYE PICHA HII
↧
↧
WEMA SEPETU AENDELEA KUTAMANI KUPATA MTOTO.
↧
DIAMOND PLATINUMS AMTELEKEZA BABA YAKE HOSPITALI
Baba Mzazi wa Diamond, Abdul Jumaa ‘Baba D’
INASIKITISHA! Wakati mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiendelea vizuri baada ya matibabu nchini India, naye baba wa jamaa huyo,
Abdul Jumaa ‘Baba D’ anateswa na kansa ya ngozi huku mwanaye huyo akiwa hana habari naye.
![]()
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.
BOFYA KUSOMA YOTE

Slaa ni turufu kubwa kwa kambi ya upinzani, kama upinzani utakubali kuingia kwenye ulingo wa siasa kwenye uchaguzi mkuu bila slaa, itawatikisa sana ukawa, credibility ya Slaa kwenye siasa za Tanzania si ya kubeza, ukiwatathmini ccm walimchagua magufuli kwa kizingatia credibility ya magufuli na si
populality yake, kwa kambi ya upinzani slaa ana credibility na populality Kubwa,namtazama slaa kama mtu muhimu sana kwenye siasa za Tanzania, kama navyomtazama magufuli kama turufu chanya kwa rebranding ya credibility ya ccm! Nawaza tu, where is slaa? Atasema nini akitokea hadharani? Je atakuja na mshindo mpya wa habari? Tusubiri tuone

BREAKING NEWSSS: LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS LEO MAKAO MAKUU YA CHADEMA
↧
↧
BREAKING NEWSSSS:. DAVIS MOSHA AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA MOSHI MJINI

Chama cha Mapinduzi leo wamefanya Uchaguzi wa Ndani kuchagua wagombea wa Nafasi ya Ubunge na Udiwani katika Jimbo la Moshi Mjini
DAVIS MOSHA ameshinda kwa kura 5271 Anayemfuatia Amepata Kura 700
↧
MJUMBE WA KAMATI KUU CCM JERRY SILAA ATOA KAULI NZITO SANA..MSIKIE HAPA
Mjumbe wa NEC, na mjumbe wa kamati kuu (CCM) ambaye pia ni meya wa Manispaa ya ilala jijini Dar es Salaam anayemaliza muda wake Mhe.Jerry William Silaa akiwasili kituoni kwa kupiga kura mapema leo akiongozana na mkewe na mtoto wao wa kwanza katika kituo chake cha kupigia kura eneo la Guluka Kwalala leo ikiwa ni hatua muhimu kufuatia zoezi linaloendelea leo la chaguzi za ndani za ccm nchi nzima kwa makada wa Chama Cha mapinduzi kwa ajili ya kura za maoni.
Mhe Jerry Silaa anapiga kura pia akiwa kama mmoja wa wanachama wa chama Cha mapinduzi wanaoomba kuteuliwa na chama Chake katika jimbo la ukonga kupeperusha Bendera ya Chama cha mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika tarehe 25/10/2015 nchi nzima.
Ikumbukwe Mhe.Jerry Silaa ameshawaletea maendeleo mengi kwa muda mfupi aliokaa katika nafasi ya udiwani wa kata ya Gongolamboto na Manispaa ya Ilala ikiwa ni pamoja na kuwapatia wananchi maendeleo mbalimbali ikiwemo miundo mbinu ya barabara,upimaji viwanja,Elimu,kiuchumi na mengine mingi ambapo mengi ya mambo hayo yalikuwa katika ahadi zake na ilani ya chama cha mapinduzi .
''......Kiukweli tunamshukuru sana Mhe.RidhiwaniJerry Silaa kwa kukubali kuja kuomba ridhaa ya kutuongoza kwani ametusaidia wana ccm wa kata zote za ukonga wamuunge mkono Mhe.Jerry ili atuwakilishe Dodoma 2015.....Aliskika mkazi mmoja akisema baada ya kufanya mahojiano na blogu hii..''
Masama blog ilitaka kujua ni kwa nini Mhe.Jerry Silaa amechukua form ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa jimbo la ukonga kwa miaka mitano ijayo?
''....Kwanza ninapiga kura ikiwa ni moja ya haki yangu katiba na kutekeleza sera ya chama chetu na pia yakiwa ni maombi yangu ya dhati kwa wana ccm wenzangu na jimbo la ukonga wanipe nafasi ya kuwa mgombea wao ili niende kundeleza kazi ya kusimamia ilani kwa hatua kubwa zaidi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa ukonga na watanzania kwa ujumla......''
Masama Blog tunaungana na wana cukonga wote kukutakia Kila la Heri na Afya njema katika kufikia hili lengo la ushindi na hatimaye kuwawakilisha wananchi wa Chalinze katika bunge la 11 la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani tunaamini uwezo na weledi wako katika kuwatumikia wananchi.
↧
ONYO ZITO KWA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA!!

Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa mastaa waliotangaza kumfuata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amehamia UKAWA hivi karibuni akitokea CCM kwamba waachane na tabia ya kufuata mkumbo.
Akipiga stori na gazeti hili alisema kwamba wale mastaa wanaomfuata Lowassa wanatakiwa kuwa makini na wasikurupuke kwa kufuata mkumbo bali watafakari kwanza kwamba yeyote wanayemshabikia anafaa na atawasaidia katika maisha na kazi zao kwani wengi wanajikuta wakifuata mkumbo tu.
“Mimi sijui niko upande gani ila yeyote atakayeonekana anafaa kutuongoza sisi wananchi ndiye nitakayemsapoti, huwa sina mambo ya timu kwa kweli, nawasihi wasanii wenzangu waachane na kukurupuka katika mambo haya ya siasa,” alisema Shamsa.
↧
KIDOTI ANAUHONDO WAKE HIVI AMAZING KAMGONGO SIO HABA DAAAH JIONEE HUMU ALIVYOJIACHIA KIMAKUSUDI
↧
↧
WASICHANA WAZURI ZAIDI KUTOKA KENYA
↧
VIDEO UWII DIAMOND AMREKODI ZARI AKIWA ANANAOGA
↧
STEEVE NYERERE AANGUKIA PUA ..UCHAGUZI WA UBUNGE KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA KINONDONI

↧