Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

JERRY MURO CHALII,APIGWA CHINI KURA ZA MAONI KUGOMBANIA UBUNGE KUPITI JIMBO LA KAWE


MATOKEO YA KURA ZA MAONI UKONGA, ANGALIA HAPA ALICHOPATA JERRY SILAA

$
0
0
Meya Jerry Silaa wa manispaa ya Ilala ameshinda kwa kishindo dhidi ya wapinzani wake ndani ya jimbo a ukonga katika uchaguzi wa kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kugombea ubunge kupitia cha hicho katika jimbo la ukonga katika uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba 2015..
Kama kawaida Masama blog inakupongeza sana mhe.jerry silaa tukiamini upele unakaribia kupata mkunaji,yaani jimbo la ukonga litapata mbunge kijana na mchapakazi sana na mwenye dhamira ya dhati ya kuwasaidia wana ukonga.

MATOKEO MENGINE KATIKA MAJIMBO YA UCHAGUZI..

Anthony Mavunde(Dodoma Mjini)
Bonnah Kaluwa(Segerea)
January Makamba(Bumbuli
Fenela Mukangara(Kibamba)
Ridhiwani Kikwete(Chalinze)
Deo Filikunjombe(Ludewa)
Abbas Mtemvu (Temeke)
Idd Azan(Kinondoni)

ISHA MASHAUZI AFUNGUKA KUHUSU MUTINDIZZ WAKE.

$
0
0
Mwimbaji wa Taarabu Isha Mashauzi amefunguka juu ya style yake ya kuacha maziwa wazi
Isha Mashauzi amesema kuacha maziwa wazi ni staili yake na si biashara kama ambavyo watu hudhani


LE MBEBEZZ MUKARE LIVE U KNOW.

BEN PAUL AJITWALIA LE MBEBEZ NCHI JIRANI.

$
0
0
MSANII BEN PAUL AKIWA STUDIO ZA COKE STUDIO NCHINI KENYA PICHANI AKIWA NA MREMBO MATATA AKIKAMATIA KIUNO.

THE MAGAZETI YA BONGO LEO SUNDAY /JUMAPILI 02/8/2015 LIVE!!

MBEBES MKALI KUTOKA GHANA NI BALAAAAAAA

YABAINIKA MWANASIASA ALIYETOWEKA TANZANIA YUPO HUKU KAFICHWA.


BREAKING NEWS NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA MAKONGORO MAHANGA AMETANGAZA RASMI KUJIUNGA CHADEMA

$
0
0
Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt.

Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM. 

BOFYA KUSOMA TAARIFA YAKE YOTE

KAULI ZA WATU VIONGOZI WAKUBWA WALIOTABIRI MAFANIKIO YA LOWASSA!

MKUBWA FELLA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KWA KISHINDO!

$
0
0
Meneja wa wasanii wa kundi la Yamoto Band na Mkubwa na Wanawe Said Fella amefanikiwa kupata asilimia 87 ya kura za kumuwezesha agombanie udiwani wa kata ya Kilungule. Said Fellakupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) alitufahamisha kwa maneno haya:-"Asante MUNGU asante wadau asante TMK WANAUME family asante WCB asante Mkubwa na Wanawe asante TIP TOP Connection asante wanachama wenzangu asante wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa kura nyingi na wana ccm wenzangu kwenye kinyang’anyilo cha udiwani kata ya kilungule na shukulu MUNGU nimepata asilimia 87 kwa kura zote asante MUNGU ”

JIONE PICHA ZA SHOW ALIOFANYA DIAMOND PLATINUMS AJIJINI NAIROBI JANA

BREAKING NEWS : ANGALIA PICHA YA KWANZA JOHN MNYIKA AKIWA KWENYE KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA MUHA HUU

$
0
0
Name:  11811500_10153538021187938_3900723245743735649_n.jpg Views: 2247 Size:  20.5 KB 
John John Mnyika,leo katika kikao cha Secretarieti ya Kamati Kuu amejitokeza ndani ya ukumbi,huku akionekana mwenye utulivu wa akili na sura alilakiwa na baadhi ya Wazee wa
Baada ya Kikao hiki,sisi kama wadau na wapenzi wa

Chadema tunaomba ndugu JJ Mnyika uweze kuongea na waandishi wa habari kuondoa sintofahamu iliyojengeka kwa wananchi na hasa wafuasi na wapenzi wa Chadema 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

DR SLAA HIVI PUNDE...AJIANDAA KUTOA KAULI YAKE KWA TAIFA HIVI KARIBUNI

BREAKING NEWSSS : DR SLAA AMLIPUA YERIKO NYERERE

$
0
0

Baada ya Yericko Nyerere Kuandika Ujumbe Huu mzito kwa ajili ya Dkt Slaa,


Dkt Slaa akuweza kuvumilia na ye Amerudisha Kombola na

#DktSlaa amlipua @YerickoJNyerere, asema akiwa na la kusema ataitisha press conference. Ni wazi amejiweka kando #CDM 




WEMA SEPETU NJIANI KUMCHUKULIA BWANA MSANII SHILOLE.

$
0
0
Usiku wa kuamkia leo kwenye mtandao wa kijamii kumekuwa na sauti iliyorekodiwa maongezi kati ya msanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na msanii wa filamu Wema Sepetu wakiwa wanatongozana.Haijafahamika kwa haraka nani alirekodi maongezi hayo.Shilole mpenzi wa mwanamuziki huyo inadaiwa amezimia baada ya kusikia maongezi hayo.

MH STEVEN WASIRA AFANYA MAAJABU BUNDA MJINI.

$
0
0
Steven Wasira ashinda kura za maoni Bunda Mjini.




CHADEMA YAWA MFUTA MACHOZI WANAOSHINDWA CCM.

$
0
0
Naibu waziri wa kazi na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Makongoro Mahanga ametangaza kujiunga na Chadema Leo mara tu yakushindwa kura za maoni.

BREAKING NEWSSSSS: MBOWE ATOA KAULI KUHUSU TETESI ZA DR SLAA KUJIUZULU

$
0
0
Akizungumza na Radio one mda wa saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.


Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.

Chanzo: Radio one

BAADA YA KUPIGWA NA KITU CHENYE NCHA KALI SANA WAZIRI MKUU AAMUA KUPUMZIKA SIASA ONA PICHA HAPA LIVE!!

$
0
0
Waziri Mkuu Pinda, baada ya kukatwa jina kwenye uchaguzi wa Dodoma majuzi CCM, ameamua kurudi nyumbani na kuangalia mifugo kama Mkulima.

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live