@mrproblemsolved with @repostapp.
・・・
Kibiashara anajulikana kama Mama Alaska, ila watu wake wakaribu wanamjua kama Jennifer Bash.
Mie namuita Mama Future Billionaire!
Jennifer ni mjasiriamali wa kipekee. Anachapa kazi kama mwendawazimu (umkute amekaa anafungasha order ya TANI NZIMA ya mchele kwenye mifuko ndo utaelewa kwanini nasema hivyo), jambo ambalo linaniacha nakohoa kwenye vumbi ukizingatia kwamba YEYE NI MKE WA MTU NA MAMA WA WATOTO WATATU PIA!
Bidhaa zake za MCHELE, MAYAI NA MAFUTA YA KUPIKIA ZINAPATIKANA KWA JINA LA ALASKA TANZANIA kwenye supermarket 7 tofauti zenye branch 24 kwa ujumla.
Nina wateja karibu 190, wengi wanawake, ila sijawahi kuona mtu mwenye njaa ya mafanikio kama Jennifer. Mpole, mcheshi, msikivu na HATAKI KUBAKI MDOGO hata kama alianza mdogo.
Wakati namfungia Minishop System kama mwaka na nusu uliopita, alikua anauza mayai tu.
Minishop System ikamsaidia kuweka mahesabu yake kwenye msingi imara, akawa anaelewa anachokifanya na hatimaye akaja kuzindua mchele wa Alaska Tanzania ambao unauzika kama maji kutokana na ubora wake na usafi wa packaging yake.
Badala ya kuishia hapo, wiki kadhaa zilizopita tulikaa kuongea akanionyesha bidhaa yake mpya ya mafuta ya kupikia!
@mama_alaska hachoki kuleta jipya na kwavile biashara yake inaendeshwa kwa kutumia Minishop System, Jennifer habatishi kwenye mahesabu, jambo ambalo ndani ya miaka mitano ijayo litamfanya awe Bhakresa wetu wa kike. 100%
Kujipatia Minishop System nawewe CHUKUA SIMU YAKO hapo sasa hivi umpigie Joseph 0756-89-59-89 au Apendaeli 0782-519-063 au Upendo 0788-735-669.
Jennifer aka @mama_alaska @mama_alaska @mama_alaska @mama_alaska @mama_alaska @mama_alaska ninavyosema WANAWAKE WANAWEZA wewe ni dhibitisho tosha. Mungu akuzidishie uje usambaze bidhaa za Alaska Tanzania kwenye kila nchi DUNIA NZIMA 💪💪