↧
USHINDI WA TINGA TINGA WAANZA KUONEKANA MAPEMA.
↧
JOHN MNYIKA NA EDWARD LOWASA LAO MOJA.N
↧
↧
PICHA HIZI DHAZIHIRISHA MH MAGUFULI NI KIPENZI CHA RAIS KIKWETE.
↧
HUYU NDIO MGOMBEA MWENZA WA EDWARD LOWASA.
↧
KIPANYA TAFAKARI YA LEO.
↧
↧
PICHA ZA USHINDI WA KISHINDO WA SUPER MOGUL DAVIS MOSHA KURA ZA MAONI CCM UBUNGE WA MOSHI MJINI LIVE!!
Mh. Davis Mosha akitete jambo na Hendrew Mpiganaji ngumi za kulipwa wa zamani nje ya ofisi za CCM Wilaya ya Moshi mjini |
Davis Mosha akiwa na wananchi wa wilaya ya Moshi Mjini |
Davis Mosha akiwa na Kamanda wa Vijana Wilaya ya Moshi Mjini na Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM ndugu Agrey Marealle, Nje ya Ofisi ya CCM Wilaya ya Moshi |
Mh. Davis Mosha akiwa na wanachama wa ccm baada ya majumuisho ya matokeo ya awali kutoka kwa mawakala wa vituo kuonesha ameshinda kwa kishindo.
Waendesha pikipiki wakifurahia ushindi wa Mh. Davis Mosha |
Mh. Davis mosha akizungumza na wanachama waliokuja nje ya nyumba yake kumpongeza. |
Mh. Davis mosha hakusita kuonesha furaha yake kwa wapiga kura wake |
Marafiki na wafanyaiashara Hawakua nyuma kuhakikisha Jimbo linakombolewa. |
Furaha inapozidi unashindwa kuzungumza na kubaki na zawadi ya Tabasamu. |
"Nawashukuru sana tuendelee na umoja wetuu" |
Mh. Davis Mosha akiingia katika Tafrija ya Fmilia ya Mama Anna Mkapa aliyoalikwa kwa heshima. Pembeni ni William Malecela (Le Mutuz) |
Mh. Rais Mstaafu ndugu Benjamin Wiliam Mkapa akimpa mkono wa Pongezi Mh. Davis Mosha |
"Hongera sana" |
Mama Anna Mkapa akimpongeza Mh. Devis Mosha
Mh. Davis Mosha akiingia katika ofisi ya ccm wilaya ya Moshi Mjni |
Mh. Davis Mosha akikumbatiwa na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm Bi. elizabeth Minde |
Kamanda wa vijana ccm wilaya ya Moshi Mjini Mh. Agrey Marealle akiingia katika ofisi za ccm Wilaya ya Moshi mjini |
Wanachama wa ccm wakiwa nje ya ofisi ya cm wilaya ya Moshi mjini |
Wagombea wakiwa katika kikao cha majumuisho ya matokeo |
Wanachama na wanahabari wakisubiri matokeo kwa hamu |
Matokeo ya kura za maoni yakisomwa nje ya ofisi ya ccm |
Wanachama wa ccm wakishangilia baada ya matokeo kutangazwa |
Mmoja wa wagombea ndugu Priscus tarimo akimpongeza Davis Mosha baada ya kutangazwa kwa matokeo. |
Haya ndiyo matokeo rasmi ya kura za maoni |
Wanachama wakishangilia huku wakitembea na Mh. Davis Mosha |
Mh. Davis Mosha akiwa katika Maandamano na wanachama wa ccm |
Furaha inapozidi hata chini nitalala |
Kilometa zaidi ya sitini bila kuchoka |
Kila alipopita hakuchoka kusimama na kushukuru wanachama waliomchagua |
Mh. Davis Mosha akizungumza na wanachama wa kata ya njoro |
Furaha imepitilizaa |
Mh. Davis Mosha akiongea na wanachama wa ccm baada ya kutembea zaidi ya kilometa 60 na kumalizia kata ya kiboriloni. |
↧
PETER MSIGWA NI NGUMU KURUDI BUNGENI KWA MWENDO HUU WA MWAKALEBELA KUPITA IRINGA MJINI
MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)

Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.
Jimbo la Iringa Mjini.
Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni Fredrick
Mwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca Msambatavangu 2077, Yahaya Msigwa 1097, Augustine Mahiga 745, Mahamood Madenge 423, Addo Mwasongwe ,259, Nuru Hepautwa 191, Frank Kibiki 183, Maiko Mlowe 183, Fales Kibasa171, Kiponda Stephen 135 Mwanilwa Joseph 79 na Adelino Gwilino 66. Jumla ya kura z zilikuwa 10,216 ,zilizoharibika 220 kura halali 9997.

Jimbo la kalenga
Wagombea ubunge Kwenye Jimbo la kalenga walikuwa watano ambao ni Abbas Kandoro alipata kura 674, Jackson Kiswaga kura 3,439, Brayson Kibasa kura 289, George Mlawa kuwa 301, na Geofrey Mgimwa kura 15550. Jumla zilikuwa kura 22,253 na zilizoharibika zilikuwa kura 32.
Jimbo la Ismani
Mbunge wa jimbo la Ismani Willium Lukuvi kwenye kura za maoni alipata kura 10,799, Festo Kiswaga 1237, Hamis Maliga 323,Eliasa Kazikuboma 62, Kiyoyo Antony Sebastian 155, Jumla ya kura zilikuwa 12,560 zilizoharibika zilikuwa kura 42.
Akizungumza katibu wilaya ya Iringa Elisha Mwampashi alisema aliwataka wagombea hao kuwa wamoja kwa ajili ya kukijenga chama huku akisema wagombea hao wasiwabeze wenzake ambao kura hazikutosha kwa sababu bado safari ndefu chama kitaenda kuchuja na kuleta jina la atakaye peperusha bendera ya chama cha mapinduzi jimbo la Iringa amjini.
Naye Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa Mjini Abeid Kiponza
aliwatakawagombea hao kuacha makundi ndani ya chama ili kuweza kumtafuta mgombea aliye safi.
“Safari hii imeanza tulishapata mgombea urais sasa ni kwenu wabunge na madiwani sitaki kusikia makundi ndani ya chama cha mapinduzi nitakayemsikia anaanzisha kundi nitahakikisha kanuni za chama zitafuatwa juu yake.”alisema Kiponza.
Akizungumza kwa niaba ya wagombea wote wa jimbo la iringa mjini Addo Mwasongwe alisema kuwa maendeleo ya Iringa yanajengwa na wanairinga wenyewe, hata kama hutapata kuleta maendeleo kwa njia ya ubunge tafuta nafasi nyingine utawaletea maendeleo endapo wataungana na kuwa kitu kimoja pasipo kuwa na majungu ndani ya chama
↧
EDWARD LOWASSA AFUNGUKA KILICHOMPELEKA UKAWA!!
Lowassa: Nataka nichukue fursa hii kuwapongeza wale wenzangu waliojiunga nami, maamuzi magumu lazima yafanyike.
Lowassa: Watanzania wajue katika muungano huu tuna nguvu kubwa, nguvu ya kuweza kuchukua dola asubuhi oktoba 25.
Lowassa: Marafiki zangu na ndugu zangu mlioko Z'bar nawaambia hadharani kwamba nimejiunga na mtu ambaye havunji muungano
Lowassa: Kwa watu ambao wamehangaika juu ya nchi hii ni
viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na wengine asanteni sana.
viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na wengine asanteni sana.
Lowassa: Nataka kuwahaidi kuwa nitapita kila jimbo la nchi hii, kwahiyo unapoondoka hapa kajiandae katika jimbo lako.
Lowassa: Niliwahi kuwaambia waandishi wa habari kwamba sina msamiati wa kushindwa
Lowassa: Mchaka mchaka .....chinja... Aluta continue ..Nawashukuruni sana kwa kunisikiliza. Tutakutana kwenye majimbo
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond
↧
ZAHARA LIYESHINDWA NA IRENE UWOYA KURA ZA MAONI ANENA MAZITO YA KUVUTIA,MSIKIE HAPA
Baada ya kura kutotosha kumfanya apite katika kura za maoni kugombea Ubunge kwa viti vya Vijana mkoani Tabora, Zahara Muhidin Issa Michuzi (pichani) amepokea matokeo kwa moyo mkunjufu na kumpongeza mshindi Irene Uwoya na kumuahidi ushirikiano katika mambo yote mema ya kuendeleza vijana mkoani humo.
Zahara ambaye sasa ataelekeza nguvu zake katika kusaka digrii ya pili ya uchumi, amesema kwamba anawashukuru wajumbe wa mkutano wa uchaguzi, baba yake, mama walezi, kaka Mkala Fundikira wa Tanzania Bloggers Network (TBN) kanda ya Magharibi na wana TBN wote wa ndani na nje ya nchi akiwemo kaka Jeff Msangi wa Canada na Mubelwa Bandio na DJ Luke wa Marekani, wanahabari wote wa makundi ya Whatsapp chini ya Francis Godwin na walimu wake pamoja na wananchi wote kwa ujumla kwa kumpa heshima ya kumuunga mkono kwa kujitokeza kujaribu kuomba nafasi hiyo.(VICTOR)
Amesema kushindwa kwake hakumaanishi lolote zaidi ya kwamba demokrasia imechukua mkondo wake na aliyehitajika kuendeleza mapambano amepita na yeye hana kinyongo naye na ataendelea kuutumikia mkoa wa Tabora katika nafasi yake ya mtu ambaye si kiongozi.
Zahara ametoa mwito kwa wagombea wa nafasi zote kwamba kushindwa ni moja ya matokeo katika ushindani wowote hivyo ipo haja ya kujenga utamaduni wa kukubali matokeo bila ya hasira ama kinyongo kwani dunia i duara, na kwamba mlango mmoja ukifungwa kuna mwingine utafunguka.
Amesema hana mpango wa kuhama CCM ambayo anaiamini kuwa ni chama ambacho kitaenzi na kutunza hadhi na mustakabali wa Taifa la Tanzania kuliko chama chochote.
“Kushindwa kwangu kupata kura za kutosha sio mwisho wa dunia. Nina imani kwamba wapiga kura walijua wanachokifanya. Mimi ni nani kuwaoneshea kidole? Maisha yaendelee kama kawaida na Mola awajaalie wote kwa yote” alisema.
↧
↧
BREAKING NEWZZ:UNAAMBIWA HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA UKAWA LITAKALOTANGAZWA OKTOBA 2015!
↧
BAADA YA RAIS JK KUSEMA WAPINZANI WATAISOMA NAMBA, LOWASSA NA YEYE AKAJIBU NA KUIPA UKAWA JEURI, ONA ALICHOJIBU LOWASSA HAPA

Dar es Salaam.Sasa ni rasmi, waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema. Mwanasiasa huyo mkongwe na ambaye amekuwa gumzo ndani ya CCM, alikitosa chama hicho na kujiunga na upinzani.
Baada ya kujiunga na Chadema, alichukua fomu za kugombea urais na kudhaminiwa na wanachama wapatao 1.6 milioni. Jana alitambulishwa na kupitishwa rasmi na Mkutano Mkuu wa Chadema pamoja na mgombea wake mwenza, Juma Duni Haji.
↧
BREAKING NEWZZZ...PROF. LIPUMBA AJIANDAA KUJIONDOA CUF NA KUUNGANA NA DR.SLAA....SABABU NI LOWASA

Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba ana kikao na wazeeLeo mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba ameita waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Tuwe pamoja kujulishana kitachojiri makuu ya chama, Buguruni baada ya muda si mrefu.
Sakaya: Majadiliano yamechukua muda mrefu kuliko tulivyodhani, tunaomba radhi kwa kuchelewa na tunaahirisha press conference ya leo.
Kuna majadiliano kati ya wazee na mwenyekiti wa chama na yakikamilika na ikaonekana bado kuna haja ya kuwaita waandishi, mtaitwa.
↧
WAKATI SINTOFAHAMU YA DR. SLAA IKIENDELEA KUITAFUNA UKAWA MMMH ZITTO KABWE NAYE APIGILIA MSUMALI WA MOTO
↧
↧
LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH MY PEOPLE AT DOWNTOWN BONGO LE TAMBALALEZZZZZ LIVE!!
↧
LE MUTUZ NATION HANGING OUT WITH BONGO CELEBRITIES LIVE AT DOWNTOWN BONGO!!
↧
BAADA YA USHINDI WA KURA ZA MAONI CCM MOSHI MJINI NOW NI MATAYARISHO YA KUMALIZIA STUDIO ZA RADIO NA TV STATION YA "NEW AFRICAN SWAHILI MEDIA" WITH SUPER BILIONEA DAVIS MOSHA LIVE!!
↧
LE BIG SHOW HANGING OUT AT KEMPISK HYATT HOTEL RELAXATIONS U KNOW WITH SU[PER STAR ACTRESS SHAMSA FORD LIVE!!
↧
↧
MH MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE WAKIPANGA MIKAKATI YA USHINDI WA CCM NA WEMA SEPETU
↧
THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK SASA KUOA KARIBUNI SANA SUPER MODEL FROM KENYA HUYU HAPA LIVE!!
↧
BLOGU YA WANANCHI MEDIA COMPANY LTD. HATIMAYE TUMEINGIA MKATABA MPYA WA KUITANGAZA M-BET YA SPAIN KWA MIAKA 5 IJAYO MKTABA HUU UMEANZA RASMI LEO!!
↧