Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

MTOTO WA LOWASSA, UMESHAMUONA AMEVAA GWANDA.... NIMEKUWEKEA HAPA AKIWA NA MH.SUGU

$
0
0
 
Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu

Wadau wa Chadema wakiwa katika Mkutano Wa Chadema

Moja ya Matukio yanaliyoendelea katika Mkutano huo

ZIFAHAMU SABABU ZA DR SLAA NA PROF IBRAHIM LIPUMBA KUSUSIA UKAWA.

$
0
0

Elimu  shahanda za udhamivu dokta na uprofesa haziendani na maamuzi yanayofanywa ndani ya umoja huo kupokea oil chafu.Pili upande wa dokta Slaa matakwa yake ya kumpokea Edward Lowasa ilibidi afanye mkutano wa kueleza ukweli wa richmond.Tatu Prof Lipumba hakufahamishwa kikao kilichofanyika maamuzi ya mwenyekiti mwenza Haji Duni kuvuliwa uwanachama na kujiunga chadema kama katiba inavyoitaji kifungu cha 57 katiba .


CHAMA CHA MAPINDUZI HALI TETE.

BREAKING NEWZZZ...DR SLAA AKUBALI KUREJEA CHADEMA.

$
0
0
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa chadema nyumbani kwake leo walipomtembelea.



Article 6

$
0
0
M/kiti Halmashauri ya Ngorongoro Elias Ngorisa na Madiwani,wajiunga Chadema leo Nakupokewa na Mbunge Joshua Nassari



WANA CCM HAWA PICHANI WATAKARIBISHWA CHADEMA?

$
0
0
PICHANI WANACHAMA WA CCM WAKIMSHAMBULIA MWANACHAMA WA CHADEMA KWA MAWE.

HAKIKA USIMWAMINI MWANAMKE HATA KAMA AMEKUFA.MUONE HALIMA MDEE.

ZANZIBAR:- GLOBAL PEACE LEADERSHIP CONFERENCE + EAST AFRICA FROM JULY 22-23/8/2015 SOMA HAPA LIVE!!


MEYA JERRY SILAA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA TOKA KUTANGAZWA KUWA MSHINDI WA KURA ZA MAONI UKONGA SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0

"Hakika Mungu ni mkuu sana....Mimi ndiye Mgombea wa CCM niliyeshinda katika Kura za maoni kwa Jimbo la Ukonga DSM,na nimeshinda kwa kishindo fkwa zaidi ya tofauti ya kura 3000 na zaidi..je nisemeje kuwashukuru wana wa kata zote ukonga?
Asanteni sana...Mimi ni Ni Mtoto wa Ukonga kwa kuzaliwa,Nimesoma ukonga Shule ya Msingi na kupata kuwa Diwani Mdogo kuliko wote Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2010- 2015 na ndiye Meya Mdogo wa Mwaka 2010- 2015 na hatimaye ndiye Mbunge Mdogo mtarajiwa nililiyeshinda Kura za Maoni Mwaka 2015 kwa Ubunge 2015 - 2020 kwa Kura za Maoni Ukonga.Nakuomba chaguo lako liwe ni Jerry Silaa niwe mbunge wa ukonga 2015-2020..Ninahitaji kuwatumikia wananchi wa Ukonga na wanchi wa Tanzania kwa ujumla...."

MAGUFULI NA RAIS JK LIVE AT KUCHUKUA FOMU YA URAIS JUZI UCHAGUZI HUU PATACHIMBIKA U KNOW TENA LIVE!!

SIASA NI MIPANGO SIO DHARURA WALA BAHATI MBAYA SAFARI HII PATACHIMBIKA KAMA HUAMINI ONA HAPA LIVE MAFURIKOZZ!!

BETHIDEI’ PARTY YA MZAZI MWENZA WA AUNT EZEKIEL , MOSES IYOBO YA KUSANYA MASTAA KIBAO

BREAKIN NEWZZ!!:- KUKAMATWA KWA MENO YA TEMBO USWISS WAZIRI NYALANDU AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE SOMA HAPA LIVE!!

$
0
0
http://4.bp.blogspot.com/-INoyIWXlrmg/VcIUImjIEuI/AAAAAAAHuYQ/YyzKliHiy2E/s1600/2B16A65B00000578-3185470-image-a-7_1438728714802.jpg

Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea taarifa kupitia Vyombo vya Habari inayohusu kukamatwa kwa nyara zinazojumuisha meno ya tembo yenye uzito wa kilo 262, kucha na meno ya simba vyenye uzito wa kilo moja(1). Tukio la kukamatwa kwa nyara hizo limetokea kwenye uwanja wa ndege wa Zurich nchini Uswisi tarehe 06 Julai, 2015. Kwa mujibu wa taarifa hizo, nyara hizo zilipatikana ndani ya masanduku manane (8) zikiwa njiani kwenda Beijing-China kutokea uwanja wa ndege wa Dar es Salaam kupitia Zurich.
Wizara inachukua nafasi hii kupongeza Uongozi wa uwanja wa ndege wa Zurich, na Serikali ya Uswisi na wote walioshiriki kubaini na kukamata nyara hizo. Wizara imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hizi na kwamba nyara hizo zimesafirishwa kupitia uwanja wa ndege wa JN Dar es Salaam. Tukio hili linadhihirisha kuwa tatizo la ujangili bado linaendelea ndani na nje ya nchi yetu licha ya jitihada nyingi zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Jumuiya za Kimataifa.
Wizara inapenda kuuhakikishia umma kuwa sisi kama nchi tunafanya na kutumia jitihada zote kupambana na vitendo vya ujangili unaotishia kutoweka kwa rasilimali za wanyamapori wetu.
Baada ya kupokea taarifa hizo, Wizara imeanza kufanya uchunguzi kwa kushirikisha mamlaka husika ikiwemo Mamlaka ya Viwanja vya ndege (TAA) pamoja na vyombo vya Ulinzi na Usalama ili kuchukua hatua stahiki ikiwa ni pamoja kuwabaini wote waliohusika na kadhia hii. Wizara inapenda kutoa wito kwa yeyote mwenye taarifa zinazoweza kusaidia kufanya uchunguzi huu aziwasilishe kwenye mamlaka za Ulinzi na Usalama.
Imetolewa na

Lazaro S. Nyalandu
Waziri wa Maliasili na Utalii.


HII NDIO HABALI YA MJINI BONGO YAANI NOMAAAA!!

HABARI ZAIDI ZA KUKAMATWA KWA PEMBE ZA NDOVU KUTOKA TANZANIA HUKO USWISS LIVE!!

$
0
0
Mr Heinz Widmer, chief of customs at Zurich
Mr Heinz Widmer, chief of customs at Zurich Airport, shows confiscated ivory on Tuesday. The elephant tusks had been sawn into 172 pieces, and were being transported from Dar es Salaam to Beijing via Zurich.
 
 
By The Citizen Reporter and Agencies

Dar es Salaam/Geneva. The government has launched an investigation to establish how 262 kilogrammes of ivory worth $413,000 (Sh826 million) were smuggled out through Julius Nyerere International Airport (JNIA) last month.

Natural Resources and Tourism minister Lazaro Nyalandu said in a statement yesterday that the investigation was being jointly carried out by the ministry he is in charge of, Tanzania Airports Authority (TAA) and security agencies. He said the probe was aimed at identifying those who facilitated the smuggling of the haul so that “appropriate” measures could be taken against them, and urged anyone with information that could be of help in the investigation to volunteer it.

Mr Nyalandu added that interception of the ivory and a kilogramme of lion teeth and claws showed that poaching was still a big problem in Tanzania despite the government’s efforts to stamp it out.
The ivory was seized at Zurich Airport in Switzerland on July 6 on its way from Dar es Salaam to China. TAA Legal Secretary Ramadhan Maleta told The Citizen earlier yesterday that airport security officials had teamed up with other investigative agencies to establish how the haul passed through JNIA undetected.

“I’m upcountry but I am aware of the issue and relevant authorities have already started to investigate the matter,” said Mr Maleta when reached by telephone, adding: “I will get back to you as soon as I get feedback.”

TAA Public Relations Officer Godfrey Lutego also wondered how such a large haul could pass through state-of-the-art airport security equipment unnoticed. “The airport has state-of-the-art scanning gadgets to detect unauthorised cargo, including ivory and drugs,” said Mr Lutego, adding: “The scanners can even detect traces of a narcotic on the hands of a person who has shaken hands with a trafficker ferrying drugs.”

The French news agency AFP reported on Tuesday that the 262 kilogrammes (577 pounds) of ivory had been chopped up and stashed in eight suitcases, along with around a kilo of lion teeth and claws. The suitcases, registered to three Chinese citizens, were intercepted at Zurich Airport on July 6 during a routine control of tourists arriving from Dar es Salaam.

“In light of the offences committed by the three men against customs law and species conservation efforts, they can expect to receive steep fines,” said a statement by Swiss authorities.
Contacted for comment on Tuesday, the Director of Wildlife in the Ministry of Natural Resources and Tourism, Mr Herman Keraryo, said the government was contacting authorities in Zurich for more details.

Mr Heinz Widmer, chief of customs at Zurich Airport, said it was estimated that the ivory came from between 40 and 50 elephants.
Mr Gustav Babile, Tanzania’s Chief of Interpol National Central Bureau, said his office was liaising with Interpol in Zurich on the seizure of the ivory.

A wildlife expert told The Citizen that the Chinese opted to ferry the ivory through Zurich hoping that there was lax security.
“If there is an airport known for strict screening it is Zurich Airport and the ivory might have been detected by scanners,” said the expert who preferred to remain anonymous. He said the Chinese might have bribed some officials at JNIA.

“There is no other explanation why such a big quantity of ivory could have been smuggled through the airport,” he added.
The United Nations last week voted to work harder to combat the poaching of endangered species, and expressed concern over what it called a steady rise in the level of rhino poaching and alarmingly high levels of killings of elephants in Africa. There are now an estimated 470,000 African elephants living in the wild, compared to 550,000 in 2006, said the NGO Elephants Without Borders.

China meanwhile accounts for 70 percent of world demand for ivory, NGOs say. They say Chinese hunger for ivory is responsible for the death of 30,000 African elephants each year.
Last year, President Jakaya Kikwete said he was not happy with the state of security at key airports in the country, adding that he was particularly concerned about the continued use of Julius Nyerere and Kilimanjaro international airports as conduits for drug trafficking.

President Kikwete was speaking in Dar es Salaam during the laying of the foundation stone for the construction of JNIA Terminal Three, which was expected to significantly expand the capacity of Tanzania’s biggest and busiest airport. He expressed his disgust at how easily drug kingpins were using local airports. In August 2013, the United Kingdom Department of Transport handed over state-of-the-art aviation security equipment to tighten security at the JNIA.

PICHA ZA MWANAMAMA HUYU AMBAYE ANAMIMBA YA MIEZI NANE LAKINI AKIFANYA MAZOEZI YA HATAR

$
0
0
Julia Sharpe is a mom of twins, a mechanical engineer, and competes in men's gymnastics. Impressive photos of her doing handstands, as well as gymnastic exercises on the rings and parallel bars while 7 months pregnant with twins have emerged and they are a must-see! Dear men, would you let your wives try this at home when they are this heavy? See more photos below...








LIVE VIDEO:- NOW MSIKILIZE LIPUMBA MWENYEWE AKISEMA SABABU ZA KUJITOA CUF/UKAWA LEO ASUBUHI LIVE!!

$
0
0




'Nawaomba radhi sana Wanachama na Wananchi walioniamini na kuonesha mapenzi makubwa ktk Uongozi wangu'


'Najua hili litawashtusha, litawakasirisha, litawafadhaisha. Ndani ya Chama mimi naonekana ni kikwazo'

Naonekana siwezi kuwa na mchango kama Kiongozi ktk Mapambano ya kudai haki sawa'

Nimeona niachie ngazi lakini niendelee kushiriki shughuli nyingine zinazohusu Maendeleo ya Chama Kiuchumi'

'Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT'

Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke'

'Naubariki Umoja wa UKAWA ili tusimamie kupata Katiba iliyopendekezwa na Wananchi'

'Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta'-

'Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA'

'Nimeona nijikite kwenye kufanya Utafiti wa Ushauri wa masuala ya Uchumi ili kuinua Uchumi wa nchi'

Sijashawishiwa na mtu yoyote kuachia ngazi,ni dhamira na nafsi yangu.. asisingiziwe mtu kwamba amenishauri'

'CUF bado imo ndani ya UKAWA, nitashiriki Kampeni za Uchaguzi kama mwanachama wa kawaida wa CUF'

HATA BAADA YA LIPUMBA KUJITOA UKAWA MSIKIE MAALIM SEIF CUF NA UKAWA MBELE KWA MBELE TU LIVE!!

OLD SKOOL "Abisina" ORCH. KAMALE AVEC NYIBOMA + TSHIMANGA ASOSA + MULEMBU TSHIBAU + MICKIE + MUKOKO LIVE!!

MC MAARUFU HAPA MJINI ALEX DOUBLE AAA NAYE AJITOSA UDIWANI KUPITIA CHADEMA ONA HAPA LIVE!!

Viewing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>