Kesi inayomkabili mwanariadha mlwemavu wa nchini Afrika kusini Oscar Pistorius imesogezwa mbele hadi siku ya jumatatu kufuatia maombi ya muda wa zaida kutoka kwa mtuhumiwa huyo anayetuhumiwa kumuua mpenzi wake.
"ni maombi ya msingi ambayo siwezi kuyazuia,hivyo tunalazimika kusikiliza mashataka haya hadi siku ya jumatatu."alisema Jaji Thokozile Masipa.