Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na wanaCCM wengine wakitembea kuelekea kwenye Viwanja vya Polisi Chalinze,Mkoani Pwani kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM,zilizofanyika leo Machi 19, 2014.
Matembezi yakiendelea.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili
PICHA NA MICHUZI BLOG