Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

COCONUT BAND KUSINDIKIZA UZINDUZI WA ZANZIBARLICIOUS WOMEN GROUP IJUMAA HII

$
0
0
Zanzibarlicious potrait

 ZANZIBAR NI ZAMU YENU SASA KUUNGANA NA WANAWAKE WENZENU WA KUNDI LA ZANZIBALICOUS WOMEN GROUP NA KUSHEHEREKA NAO KATIKA UZINDUZI WA KUNDI LAO KATIKA KUUMALIZIA HUU MWEZI WA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI.

LITAKALOFANYIKA ::OCEAN VIEW BEACH RESORT

TAREHE ::28 MARCH

BURUDANI ::COCONUT BAND

KWA KIINGIILIO ::100,000 VIP & 50,000 VITI VYA KAWAIDA

KUBOOK /KUNUNUA TIKETI PIGA ::0713 868766,0773 662 662 ,0777 777441 , 0777 418324

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>