Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KITAIFA MKOANI MWANZA, ATOA TUZO ZA WASHINDI WA USIMIAJI USAFI WA MAZINGIRA.

$
0
0
001Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Sh. milioni 10, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon Nombo, mkazi wa Wilaya ya Mbinga, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. Picha na OMR01Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini. Picha na OMR

002Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Ngao, mshindi wa jumla katika kutunza na kuhidhadhi Mazingira, Leon Nombo, mkazi wa Wilaya ya Mbinga, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. Picha na OMR02Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ujumbe wa siku ya mazingira kutoka kwa wanamuziki wa bendi ya Mjomba, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. Picha na OMR003Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi Kikombe cha mshindi wa kwanza wa usafi wa Mazingira kwa Majiji makubwa, Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza,  Stanslaus Mabula, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. Picha na OMR03Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Maji wa Wizara ya Maji, Hamza Sadiki, wakati alipotembelea katika Banda la Wizara ya Maji katika maonyesho ya Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, leo Juni 5, 2014. Picha na OMR

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>