Nyota wa muziki Justin Bieber amewaacha kwenye mshangao mashabiki wake baada ya kupost picha ya selfie akiwa hana nguo mtandaoni.Mwimbaji huyo hivi karibuni amekuwa akitupia picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii bila kujali wakati mwingine zikiwa nusu utupu kwa muda wa wiki nzima.
Saa chache zilizopita Justin alionekana studio akiwa na msichana anayedaiwa kuwa nae karibu katika siku za karibuni Chantel Jefferies pamoja na msichana mwingine baada ya mapenzi yake na Selena Gomez kuonekana yakilegalega.