TFF TAARIFA YA MSIBA WA MCHEZAJI MAARUFU WA ZAMANI NCHINI.
TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA MCHEZAJI BONIFACE NJOHOLE Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Reli Morogoro, Boniface Njohole...
View ArticleJIFUNZE MAANA YA TOFAUTI YA BLOG NA WEBSITE NI VITU VIWILI TOFAUTI KABISA...
Huu ndio utofauti wa BLOG na WEBSITE.1. Kwanza elewa neno WEB ni nini:WEB ni kifupisho cha neno zima WORLD WIDE WEB - si umeona websites nyingine zinaanza na www, basi www ni kifupisho cha World Wide...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI LIVE!!
WILAYA YA KYELA – MAUAJI.MNAMO TAREHE 12.01.2014 MAJIRA YA SAA 05:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA LEMA NA KATA YA NGANA, TARAFA YA NTEMBELA, WILAYA YA KYELA, MKOA WA MBEYA. BICCO S/O MWAKIBIBI, MIAKA...
View ArticleONA ALICHOKIFANYA MISS TANZANIA 2004 AMBAYE PIA NI MKE WA NAIBU WAZIRI WA CCM...
Mrembo wa Tanzania aliyewahi kulivaa taji la Miss Tanzania 2004, Faraja Kotta Nyalandu, ameendelea kujikita katika miradi ya kuwasaidia wanafunzi ili kuongeza ubora kwenye elimu ya Tanzania. Ikiwa ni...
View ArticleSASA INASADIKIWA HUENDA SUPER STAR HUYU MBEBEZZZ NDIYE SUPER SEXXXY KULIKO...
Super Star Agness Masongange live!!
View ArticleMJUE MTANGAZAJI MAARUFU DUNIANI ANYEMILIKI JUMBA LA AJABU HILI HAPA LIVE!!
Ellen DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua....
View ArticleDOWN MEMORY LANE LAST YEAR KWENYE BASH LA SUPER MOGUL DAVIS MOSHA...
Le Mutuz with MR. & Mrs. Mlatie Le Mutuz with My Loong time Super Friend Mh. Lau Masha.LE Big Shoow with Mabebs wa Ukweli left is Linda & Bea Super Star from USA.Le Mutuz with another Big...
View ArticleWANABUZA & TAXIDO GADERN WAMUAGA RASMI MWANAMUZIKI NGULI NCHINI GURUMO WA...
WanaBuza wakimuaga Mzee Gurumo Live sasa hivi huko Buza/Yombo Dar at Taxido Bar!!
View ArticleLE MUTUZ LEO MEETING WAWEKEZAJI TOKA GHANA NA FRANCE (KENPONG INC. LTD) AT...
FROM LEFT:- Mkurugenzi wa KENPONG INC. Godfried Mawugbe + Mkurugenzi wa Masoko Jambo Concepts. Juma Mabakila + Mwanasheria Maarufu Kalua + Le Big Show + Mkurugenzi Mkuu wa KENPONG Kennedy Agyepong +...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- WAGOMBEA URAIS CCM HABARI YA KWANZA YA THE DATAZ LIVE!!
The Dataz ni kwamba Mheshimiwa sana Waziri Mkuu Mstaafu siku ya Jumanne iliyopita aliitwa Rasmi na Kamati ya Maadili ya CCM Taifa Lummumba, kwenda kutoa ufafanuzi wa kwa nini amejitangaza mapema kwamba...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- JELA MIAKA 90 KWA KUZAA NA WATOTO WAKE MWENYEWE ONA THIS...
Prosecutors said Ayinde kept the kids from revealing the rape by beating them and isolating them from other children.Award-winning music video producer Aswad Ayinde has been sentenced to 90 years in...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- HABARI ZA CHAMA KIPYA CHA SIASA NA WAHUSIKA WAKE LIVE HAPA!!
WAKATI fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha siasa kimeanzishwa na watu wanaodaiwa kuwa ni muungano wa wanachama...
View Article