HABARI ZA CHADEMA KULETA FUJO MSIBANI SOMA HAPA HABARI KAMILI YA KWANZA LIVE!!
Polisi mjini Musoma wametumia mabomu ya machozi kudhibiti ghasia zilizoibuka, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na mbunge wa zamani wa Musoma Mjini, Vedastus Mathayo.Walifanya fujo juzi jioni baada...
View ArticleMY SUPER FRIEND MARIA MKAREEZZZZ IN DUBAI MISS U SANA MTUWANGUZ LOVE U MORE...
Maria Johnsonmorice likes this.Maria Johnsonmorice"Tnx my boyfrnd William J. Malecela nakpnda rfk ang"a few seconds ago·
View ArticleHATIMAYE UKWELI WA WANAMUZIKI WETU KWENDA KUPIGA MUZIKI WAO NJE WAPATIKANA...
Kila kukicha tumekuwa tukisikia taarifa mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva kusaini mikataba ya kwenda kufanya shoo katika nchi za Ulaya. Baadhi ya wasanii hao wa Bongo Fleva wamekuwa wakitangaza shoo...
View ArticleMTANGAZAJI M,AARUFU DUNIANI MUAFRIKA ALIYEFARIKI AKIWA USINGIZINI!!
Kwa asilimia kubwa alisaidia sana kulitangaza Bara la Afrika hasa alipobuni kipindi maalumu cha kutangaza habari za Afrika pekee.Wengi wa viongozi wa Afrika wamekuwa wakimuona kama ni mwandishi ambaye...
View ArticleNA HIZI NDIO PESA ZILIZOKUSANYWA KWENYE MECHI YA JANA MBEYA CITY NA YANGA!!
Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Yanga na Mbeya City lililofanyika jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 175,285,000.Watazamaji 30,411 walikata...
View ArticleMSANII WA BONGO AWACHANA LIVE WASANII WOTE WALIOJIUNGA NA CCM JANA ONA...
Kufuatia baadhi ya wasanii wa Bongo Movies na mmoja wa Bongo Flava kutangaza kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi huko Mbeya katika Maanzimisho ya miaka 37 ya chama hicho. Kumekuepo na mawazo tofauti...
View ArticleUSUMBUFU WA MALORI DAR KUWA HISTORIA SOON ONA HAPA HABARI YA KWANZA LIVE!!
Kamanda Mpinga alisema kwa kuanzia askari wa kikosi hicho wamefanikiwa kuondokana na adha ya malori yaliyokuwa yakiegeshwa ovyo katika eneo la reli Ami.Dar es Salaam. Mkuu wa Kikosi cha Usalama...
View ArticleMWANAMUZIKI MAARUFU DUNIANI AKANUSHA KUMU-ENGAGE MBEBEZ WAKE SOMA NI NANI NA...
Diddy & girlfriend CassieThe post above has speculated rumors that Diddy has proposed to Cassie but things don't seem the way we all think and below is a response from his Official fan page...
View ArticleSUPER STAR DIAMOND PLATZNUM SASA YUPO KWENYE LIGI YAKE MWENYEWE ANAKUWA...
Taarifa za chinichini kwamba single ya ‘number one rmx’ ya Diamond Platnumz ft Davido wa Nigeria ipo kwenye mstari wa kuingiza mkwanja kupitia mauzo ya mlio kwenye simu, yani Wanigeria wenyewe...
View ArticleLIVE FROM THE SINTAH JLO WA BONGO EXPERIENCE & UGLY UNFILTERED COMMENTS LIVE!!
KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII Wacha weeeeeee hii ndio habariya Dar mitandaoni kwa sasabaada ya la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar Cityhizo zilikuwa breakfast tweets kwa...
View ArticleMJUMBE WA NEC-CCM MH. ANTHONY MAVUNDE AKIWAKILISHA CAPE TOWN/SOUTH AFRICA...
Picha na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mh Alexandra Leveque, katika banda la maonyesho la Canada kwenye maonyesho ya Madini ya Indaba, Cape Town leo.
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO YA MCHEZO WA LIGI KUU YA UINGEREZA KATI YA THE GIANTS...
Bao la ushindi na IvanovicManchester City ilikuwa imeshinda mechi zote 11 ilizokuwa imecheza nyumbani kabla ya kukutana na Chelsea.Kadhalika hii ndiyo imekuwa mara ya kwanza Manchester City kushindwa...
View ArticleTHE MAGAZETI YA LEO BONGO LIVE!! 4/2/2014
Posted by: Millard Ayo February 4, 2014 .. ...................................
View ArticleRAIS HATAKUBALI KUSAINI SHERIA MPYA YA KUWAPA WABUNGE MAHELA YA AJABU...
Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali kuidhinisha kama akipelekewa ombi la kuongeza kiinua mgongo cha wabunge kutoka Sh43 milioni hadi Sh160 milioni.Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva...
View Article